Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu yanga ana odd 2 huko Betwinner
Binafsi sijawahi waelewa singida,, na magoli wanayofungaga ni kama ya mazingaombwe zingaombwe,,,,
Kwa mpira ule sijajua wataingia kwa staili gani kwenye hii mechi ila wakifunguka kijinga watapigwa za kutosha na inabidi wabadilike kwa ile staili yao, timu walizokutana nazo zimefanya makosa ya wazi sana na kupoteza nafasi za kijinga jinga sana

Ila mpira dk 90 ngoja tuone, ijapokuwa naona yanga win na ikibidi 2+ yes
 
Yanga nao wanajitafuta angalia mechi ya coastal sema wanasema kale katimu branch lakini ukicheza mpira wa haki bila uingiliwaji wowote naona kama mechi itaenda sare kumbuka singida hajafungwa..optional nzuri ni win or draw kwa Yanga
 
🀣🀣🀣🀣
Utawaelewa Leo

Maana hata YOUNG AFRICANS ni the same.

Hii match ilikuwa comfortable na kuacha tamaa ni kuipa Win or Draw

DORTMUND ni mfano Tosha,na Al Nassr,siku ya kufa haina Taarifa🀣🀣🀣
 
Dotmund peke yake amekuwa shoga siku hizi amenichania.
Leo nampa yanga direct win 1st Half.
Naamini nialiwa pekeangu.
 
Nataka niweke 50,000 halafu nizime simu katika options hizi. ..ushauri wenu tafadhali..nani anaweza zingua?
 

Attachments

  • Screenshot_20241030-094102_Chrome.jpg
    256.6 KB · Views: 2

Accumulator Of The Day On PariPesa

Booking Code: EUCYZ

Jisajili PariPesa Hapa, Promo Code Weka Neno TIPS2424

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…