Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Utasababisha watu wasiwe wana post odds humu..maana kila mtu akiwa anapost mikeka ataonekana agent wa kanji...issue kubwa kwenye kila mikeka test huyo mtu anayetuma mikeka yake huwa inatick? Ifanyie research kwanza...
Yeah ila wanaotuma na link za kujisajili ndo ma agent, odds una type tu kawaida wana tunaishi nazo
 
Usiku kutaaaam

Nasubiria tu Porto apate Goal Moja nikanunue Biriyani la Mechi ya Simba

PORTO naiona live hapo hapo SPORTYBET, Madogo wamekazaa ila wanauzia tu Mechi yote anayo Porto
 
Wanang naombeni treni la odds buku na kuendelea
Au kama weekend n ngumu mnipe ata la kuanzia odds miambili
Mi sjui kutengeneza wadau,
Likichana silaumu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…