hardworker2
Member
- May 4, 2024
- 33
- 34
Huwa sifanyii betting timu hizi labda simba, singida na yanga na Azam lakini hizo zingine sijawahi jaribuIla Mechi za Kibongo kutoa magoli 3 ni nadra sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sifanyii betting timu hizi labda simba, singida na yanga na Azam lakini hizo zingine sijawahi jaribuIla Mechi za Kibongo kutoa magoli 3 ni nadra sana.
Ahahaah ndi9 nipo naiona hii sms yako saivKMC vs NAMUNGO
Over 2.5
Stake Tsh: 150,000 usepe na laki Tatu na chenji
Tukutane kwa Wakala
Huwa zinatoa sema game ambazo hutegemei kabisaIla Mechi za Kibongo kutoa magoli 3 ni nadra sana.
Yeah ila wanaotuma na link za kujisajili ndo ma agent, odds una type tu kawaida wana tunaishi nazoUtasababisha watu wasiwe wana post odds humu..maana kila mtu akiwa anapost mikeka ataonekana agent wa kanji...issue kubwa kwenye kila mikeka test huyo mtu anayetuma mikeka yake huwa inatick? Ifanyie research kwanza...
Azam na simba sio wakuwaamini sanaHuwa sifanyii betting timu hizi labda simba, singida na yanga na Azam lakini hizo zingine sijawahi jaribu
DF89ADWanang naombeni treni la odds buku na kuendelea
Au kama weekend n ngumu mnipe ata la kuanzia odds miambili
Mi sjui kutengeneza wadau,
Likichana silaumu mtu