The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
SafiDuh! Inter na venezia mechi ndo ya mwisho nimeangalia live score dk 90+ 8 nakuta ubao unasoma 1-1, kwenye mkeka naona tik 1-0 sijui var imefanya yake!!?
At least nimepata hela ya supuView attachment 3142913
Na hapo ndipo kuna mtengo wenyewe!Kinachouma sana mkuu ni team moja ndio inaangusha behewa la vichwa 30, daaah sio poa ila huyu jamaa atajaa kwenye mfumo tu
Team za italy ni noma ukiweka magoli hazitoi, ukiweka handcap unakuta wanachapana hadi handcap znapoteaRoma hand cup ya goli Moja 1+ bado kapigwa 3-2 yani ingekuwa draw bado, dah! Kazi ngumu hii[emoji25]
Noma sana uwe unaweka hapa pia code watu wanafata adui ni yetu ni mmojaAsubuhi nimeamka na hii ya Ligi ya Colombia:
View attachment 3143059
asee wakuu nimepigw kitu kizito utosini.
mwenye code za kesho na kesho kutwa anisaidie mhindi mtu mbay Sana
Hii game ya mwisho uhakika kabisa
Inter nimempa handicap ya 2 ashinde, wako na solid diffence still ufungaji wao magoli ni wa kuotea otea sana.
Bayern ni uhakika eeeInter nimempa handicap ya 2 ashinde, wako na solid diffence still ufungaji wao magoli ni wa kuotea otea sana.
Arsenal tangia Callafiori ajeruhike wanaruhusu sana magoli, na pia bado strikers wao hawako poa hadi Odegaard apone arsenal atakua kachana sana mikeka ya watu.
Weka handicap ya 2 in favour kwa inter, then ongeza game ya bayern au city odds 3 znafika