Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu wazee wa mikeka sasa hivi ushindi wa mikeka umekuwa mgumu sana. Juzi Monaco kanichania mkeka wa mamilioni ya hela. Nimetafakari hadi leo kichwa kinaumma. Tunatokajetokaje kwenye mkwamo huu wazee? Leteni mikeka tukopi basi.
 
Huyu Betfuse mganga wake ni hatari sana. 125M mara mbili ndani ya siku mbili!!! Daaah! 😇😇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…