Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

bookies wanachelewesha kuweka mechi ya Simba vs. KMC.

waiweke watu tufanye mambo mengine, siyo tunakaa tunasubiria mechi
 
Ndugu wazeee wa mikeka, hii ndiyo shida ya kubetia vitimu hivi vya matakoni na kujifanya kuweka dau nene. Ona sasa kilichonitokea:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…