uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Bado unaweka pesa yako kwa man City?! Man city an injuries kama zote hakuna namna angeweza kufanya vizuri. Nilitaka kumuua kwenye mkeka ila nikamhurumia ikabidi hiyo game niachane nayo. Vinginevyo ningekuwa nachekelea tu saiiπMadrid na Man City wamenilaza vibaya
Madrid naye vipi!?Bado unaweka pesa yako kwa man City?! Man city an injuries kama zote hakuna namna angeweza kufanya vizuri. Nilitaka kumuua kwenye mkeka ila nikamhurumia ikabidi hiyo game niachane nayo. Vinginevyo ningekuwa nachekelea tu saii[emoji4]
Betting Zambi wazee.
Kuna mkeka nimemlinda City na handcap ya 2, lakini wapi!Mbaya kabisa............ina matokeo ya ukatili sanaπ₯π₯
[emoji1787][emoji1787]Bora niliwahi my Cashout mapemaaa
Halafu hii tabia ya kutoka Vibanda umiza kila mmoja akisepa muda wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana nyumba ya pili inawapangaji wanaBET hatari ila kila mmoja naona karudi muda wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na walitoka pamoja
Aisee hii Kazi ngum
Nikichukua hiyo code nikilipia vp inakuwa fresh ?!Huu ni mkeka wangu wa wisho wa wiki hii pia drop mkeka wako bora wa wiki
View attachment 3145082
1DF0B37 code sporty pet
Shukrani kwa ushauri murua, UBARIKIWEBado unaweka pesa yako kwa man City?! Man city an injuries kama zote hakuna namna angeweza kufanya vizuri. Nilitaka kumuua kwenye mkeka ila nikamhurumia ikabidi hiyo game niachane nayo. Vinginevyo ningekuwa nachekelea tu saiiπ