Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bado unaweka pesa yako kwa man City?! Man city an injuries kama zote hakuna namna angeweza kufanya vizuri. Nilitaka kumuua kwenye mkeka ila nikamhurumia ikabidi hiyo game niachane nayo. Vinginevyo ningekuwa nachekelea tu saii[emoji4]
Madrid naye vipi!?
 
😀
 

Attachments

  • 57A0D438-EE4D-491C-8AAE-008915F144C2.png
    57A0D438-EE4D-491C-8AAE-008915F144C2.png
    1.6 MB · Views: 10
Bora niliwahi my Cashout mapemaaa

Halafu hii tabia ya kutoka Vibanda umiza kila mmoja akisepa muda wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana nyumba ya pili inawapangaji wanaBET hatari ila kila mmoja naona karudi muda wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na walitoka pamoja

Aisee hii Kazi ngum
[emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Bado unaweka pesa yako kwa man City?! Man city an injuries kama zote hakuna namna angeweza kufanya vizuri. Nilitaka kumuua kwenye mkeka ila nikamhurumia ikabidi hiyo game niachane nayo. Vinginevyo ningekuwa nachekelea tu saii😊
Shukrani kwa ushauri murua, UBARIKIWE
 
Back
Top Bottom