LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Helabet na 1xbet kwasasa wamesajilowa bongo na wanalipa kodi na wana ofisi kwasasa.
Tumia hizo kampuni kila kitu zinafanana na Paripesa.
Mkuu waambie wanilipe pesa yangu ParipesaView attachment 3148106
Mpira Haueleweki, Twenzetu Na Game Za Basketball Za Usiku Kwenye PariPesaπ
Booking Code: GUDCJ
Betia PariPesa
Jisajili PariPesa Hapa π https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200.
Mkuu kwani hela kwenye akaunti yako haipo? Login kwa kutumia ID uliyotumia ku deposit hela yako kisha angalia kama salio lipo. Mkuu ni wengi tu wana Deposit na ku withdraw PariPesa bila shida. Labda hiyo siku uliyo withdraw mtandao ulikuwa unasumbua. Ila zingatia kwenye kampuni yoyote ile huwezi ku withdraw pesa kwa njia nje na ile uliyotumia kujisajili.Mkuu waambie wanilipe pesa yangu Paripesa
Man city shenziKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Mkuu waambie wanilipe pesa yangu Paripesa
Mkuu naingia mara kwa mara kwenye akaunti yangu hakuna pesa. Siku ya 17 leo kila baada ya masaa 2 nachukungulia hakuna kitu. Ukiwasiliana na huduma kwa wateja unaambiwa wanawasiliana na mfumo wa malipo mpaka Leo hola.Mkuu kwani hela kwenye akaunti yako haipo? Login kwa kutumia ID uliyotumia ku deposit hela yako kisha angalia kama salio lipo. Mkuu ni wengi tu wana Deposit na ku withdraw PariPesa bila shida. Labda hiyo siku uliyo withdraw mtandao ulikuwa unasumbua. Ila zingatia kwenye kampuni yoyote ile huwezi ku withdraw pesa kwa njia nje na ile uliyotumia kujisajili.
Hapo mkuu na wasiwasi na mtandao wa Halotel utakuwa ulikuwa unasumbua siku hiyo. Maana kuna muda Halotel ilikuwa inasumbua hata mtu akitaka kujiunga alikuwa hapokei Code Ya uthibitisho. Pia hela huwa haipotei lazima watakurudishia ingawa kwa kuchelewa. Pole sana mkuuMkuu naingia mara kwa mara kwenye akaunti yangu hakuna pesa. Siku ya 17 leo kila baada ya masaa 2 nachukungulia hakuna kitu. Ukiwasiliana na huduma kwa wateja unaambiwa wanawasiliana na mfumo wa malipo mpaka Leo hola.
Kweli mkuu, ngoja hii 30k niitaftie2 mrembo maana kanjibhai hafaiYani Kama unategemea kwenda mtafuna demu Kwa ela ya muindi utakufa na nyege *****
Hizo story tu mkuu.Mkubali mkatae mechi nyingi tunazibetia rakni znakua zmeuzwa Hilo nmelitambua jana Jana mechi ya Leverkusen ilikua imeuzwa
mpaka sasa hakuna video ya mechi hiyo iliopostiwa na bundersliga ila mechi zingne zote za jana kapost
Helabet ni kweli wamesajiliwa bongo lakini wapo kwenye hatua za mwisho kufilisika kwa ubovu wao wa huduma za kutoa na kuwekaHelabet na 1xbet kwasasa wamesajilowa bongo na wanalipa kodi na wana ofisi kwasasa.
Tumia hizo kampuni kila kitu zinafanana na Paripesa.
We si unataka timu iwe inashinda milele π , we ulitaka matokeo yaje kama ulivoeka kwny mkeka wako , tulia acha makasiriko ushaliwa tulia , kama unaamini mechi zinauzwa Kaa mbali na betting utaliwa mpaka chupiπMkubali mkatae mechi nyingi tunazibetia rakni znakua zmeuzwa Hilo nmelitambua jana Jana mechi ya Leverkusen ilikua imeuzwa
mpaka sasa hakuna video ya mechi hiyo iliopostiwa na bundersliga ila mechi zingne zote za jana kapost
Wakamaria wengine wakichaniwa mkeka wanaanza kubwabwaja mechi zinauzwa , nonsense haiingii akilini kabisa , wanataka timu ishinde mechi zake zote bila kupoteza au ata kutoa sare π, kwanza Jana Leverkusen hakupoteza mchezo , ametoa sare , ye akaleta mitamaa akampa direct win mtu yupo ugeniniHizo story tu mkuu.