Rejected by operatorMimi ninachojua ukiweka pesa au ukitoa, angalia kwenye akaunti yako sehemu ya profile(kwenye kale kakichwa)
Hapo utakutana na jumbe zote, tangu umeanza kufanya transactions paripesa...
Hivyo kama pesa yako imekwama kwasababu yoyote, utakuta maelezo ya sababu ya kukwama huko.
Haijasajililiwa bongoWazee hivi 1xbet imesajiliwa bongo nisije ingia chakike nataka ni deposit 1m
Duh basi ngoja nibaki sporty betHaijasajililiwa bongo
Too risk
Unamfahamu operator wako?Rejected by operator
Hiyo sababu ndio ita solve tatizo langu mkuu?
Tumia betwinner, ni version ya 1x na imesajiliwa bongo.Wazee hivi siku hizi 1xbet imesajiliwa bongo nisije ingia chakike nataka ni deposit 1m
Odds 2 kwa mechi 12 mzee!!?? Risk ni kubwa mno.Leo ninawapa odds 2. Weka mzigo tulia.
1A6B49C
Sportybet.
Natumia Airtel mkuu. Hata kama mtandao ulikuwa unasumbua siku hiyo ndo ichukue siku 17 leo?Hapo mkuu na wasiwasi na mtandao wa Halotel utakuwa ulikuwa unasumbua siku hiyo. Maana kuna muda Halotel ilikuwa inasumbua hata mtu akitaka kujiunga alikuwa hapokei Code Ya uthibitisho. Pia hela huwa haipotei lazima watakurudishia ingawa kwa kuchelewa. Pole sana mkuu
Mkuu mimi ni mhanga wa Paripesa nimewithdraw mpaka Leo pesa haijafika kwenye laini yangu ya Airtel na kwenye akaunti ya Paripesa imeshatoka. Nidanganye kwa faida ya nani vile!Tangu nianze kutumia paripesa haijawahi kuzingua popote, iwe kutoa au kuweka...
Nyinyi mnaolalamika inakuwaje mazee?
Mimi naweka pesa kwa voda inaingia dakika hiyo hiyo, na ikigoma natumiwa sms mda huo huo?
Haya malalamiko kuhusu paripesa yana ukweli kiasi gani?
Yaani uweke pesa kwenye akaunti, isifike na wasikutumie ujumbe wowote?
Au mimi natumia paripesa gani!
Nimekutumia ujumbe DMMkuu mimi ni mhanga wa Paripesa nimewithdraw mpaka Leo pesa haijafika kwenye laini yangu ya Airtel na kwenye akaunti ya Paripesa imeshatoka. Nidanganye kwa faida ya nani vile!
weka kwa njia ya Visa card mkuu au kkoo kuna wakala pale nimesahau jina lakeWazee hivi siku hizi 1xbet imesajiliwa bongo nisije ingia chakike nataka ni deposit 1m
Mkuu are serious?Unamfahamu operator wako?
Hiyo pesa mdai operator wako, haijafika paripesa.
Sahihi mkuuU
Mkuu are serious?
Nimedeposit kupitia Paripesa halafu nianze kumtafuta nani?
Mi sija deposit kutafutana na operator, nimedeposit ilini BET na nikishinda nilipwe hela yangu...... PERIOD
Huu ujinga huukuti kwenye makampuni makini
Kama kuna shinda wanakwambia Kuna changamoto na wanafix wenyewe
Arsenal haeleweki sasa hivi hata kuomba goli moja tu nimeshindwa kanichania mechi zote tatu zilizopita kwa kushindwa kupata hata goli moja,Hivi wakuu kati ya
Chelsea win or draw 1.6
Na
Arsenal Win 2.4
Ipi ina MATUMAINI ya kutoa kwa 100k?
Mechi zingine huzioni?Hivi wakuu kati ya
Chelsea win or draw 1.6
Na
Arsenal Win 2.4
Ipi ina MATUMAINI ya kutoa kwa 100k?