nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ok hapo nimekuelewa..Mkuu nilideposit kwa kubofya kwenye app yao nikafanya malipo
Tukasumbuana nao wiki nzima ndio hela ikaingia kwenye acc
Baada ya kula sasa nataka kutoa hela
Ndio hapo nakutana na REJECTED BY OPERATOR
Yaani mimi nianze kuwapigia Halopesa kwamba kwanini Paripesa wana reject kunilipa?
We unaona hii imekaa sawa mkuu?
Nimemfuata Aseno mazimahivi hizi odds za chelsea mnaziogopa?
mpe chelsea mazima, odds 3 safi kabisa!
kama unaogopa mpe DC odds 1.6 safi kabisa.....
nb
cheza single kwa win, kwa dc mpe na man u win utakua na odds 2
Nilichomwambia mdau kinaenda kutimia,labda wabadili mfumo au wafanye subKashatekenywa kimoja huko tayari
Arsenal hatoboi shehe.Nimemfuata Aseno mazima
Instinct zangu zinaniaminisha game kama hizi Arsenal huwa wanafanyaga maajabu
Mkuu nilikua sijalijua hili
Huyu huyu mbiga akanijaza king nikafungua acc Paripesa nikadeposit 70k
Ilichukua wiki 3 hela kufika kwenye acc
Nikacheza ikafika 370k, nilipotaka kutoa nikakuta njia ya Halotel niliyowekea hela haipo na masharti yao eti ni lazima utoe kwa njia uliyowekea tu
Nimevurugana nao mwezi mzima sijapata hata sh1
Nikataka kuwashitaki bodi ya kamari nikaambiwa hao ni wahuni hawana kibali na bodi haiwezi ku control kila kitu kwenye internet
Nikashauriwa kuwmm
mm toka 888starz waniibie dola 105 cjawah kuwa na imani na app hi mpy mpy tena hao ni majambaz kwa mgongo wa kamariMkuu tutaingizwa sana mkenge na huyo wakala wa Paripesa anaye wahadaa hapa jukwaani kwa Demo acc anastake malaki kwa mamilioni
Kitu pekee cha kweli anacho post ni mikeka yake
Lakini anatumia DEMO ACC
Paripesa ni MAJAMBAZI
Hawana kibali cha Bodi kufanya kazi Tz, hawana ofisi na njia wanazotumia kuweka hela ni za ujanja ndio maana kutoa na kuweka ni Mtihani kweli kweli
Kuna wahuni wachache kama huyo anayepiga promo humu ndani wanapata gawio kwa kila mteja atakeye jiunga na kupigwa hela zake
Hao una chat nao ni wahuni tu labda utakuta anakujibu yupo zake kitambaa cheupe analewa tu na kuvuta shisha kwa hela za wakamalia wao hangaika labda watabahatisha
Kasharudisha na kuongezea,safi sana2nd half inatakiwa ashinde kwa namna yoyote ile
watu mnabet na kuchamba pia😂😂😂Wewe mweyewe hapo ulipo ukikopa hulipi
Unahamisha madeni tu
Kampuni zote za Sim zinakopesha,sasa kwanini usikope ktk line Yako,jibu ni kwamba huko kwenyewe unadaiwa.🤣🤣🤣
Mdau don't reach to that moment kwa ajili ya KAMARI,Mechi zipo,fanyakazi ingiza pesa then tumia utakavyo ila sio ukope kisa leo unaona utajiri nje nje 🤣🤣🤣🤣NDIO Kamari ilivyo
Mkuu yaani we acha tutoka juzi cjabet 1xbet kalimit kustake 2800 kwa option zangu za under nikajiunga paripesa nimekuta ni kile kile sion ht raha ya kubet live
Mkuu yaani we acha tu
Nilidhani nateseka peke yangu kwenye live
Hii ni kwa kampuni zote zinazotumia template ya 1xbet
Sasa wamepiga pini 28,700 tu
cjui wanashida gan imebid tu nitulie nisibet kwamaan pre game hazitabirik kabisa saiv mpira ushapoteza ladha sikuiz ni biashara na sio burudah km zamanMkuu yaani we acha tu
Nilidhani nateseka peke yangu kwenye live
Hii ni kwa kampuni zote zinazotumia template ya 1xbet
Sasa wamepiga pini 28,700 tu 😭
Lolote linaweza kutokea uwanjaniArsenal hatoboi shehe.