mbacho massawe
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 299
- 245
PARIPESA ni matapeli msiseme sijawaambia.
Hiyo 150,000/= kama mnavyoona nimewithdraw toka tarehe 7 leo ni siku ya sita hawajaiapprove na email wanajibu kwa kujisikia wao.
Sasa sijui ukishinda mamilioni sidhani kams wataruhusu.
View attachment 3150923
Usiwaamini sana mkuu.Naamini haipotei na nimeona wamefanya marekebisho haswa kwa mambo ya fedha maana hata nimetaka kutoa Tsh 35,000/= na ikakatwa kwenye account na baada ya dk kama 7 hiyo balance ikarudishwa kwa main account nikajua kuna marekebisho fulani wanafanya.
Hivyo naamini haipotei pesa yako.
Naamini haipotei na nimeona wamefanya marekebisho haswa kwa mambo ya fedha maana hata nimetaka kutoa Tsh 35,000/= na ikakatwa kwenye account na baada ya dk kama 7 hiyo balance ikarudishwa kwa main account nikajua kuna marekebisho fulani wanafanya.
Hivyo naamini haipotei pesa yako.
mimi napata mashaka na betwinner. unapodeposit lazima uweke e-mail yako kwenye website ya Kinaijeria ya flutterwave.PARIPESA ni matapeli msiseme sijawaambia.
Hiyo 150,000/= kama mnavyoona nimewithdraw toka tarehe 7 leo ni siku ya sita hawajaiapprove na email wanajibu kwa kujisikia wao.
Sasa sijui ukishinda mamilioni sidhani kams wataruhusu.
View attachment 3150923
Kampuni na ina kibari haiwezi kuwa matapeli kila kampuni Ina aina yake ya kudeposit mfano Melbet unaweka hivyo lakini mfumo wa malipo ni selcom paymimi napata mashaka na betwinner. unapodeposit lazima uweke e-mail yako kwenye website ya Kinaijeria ya flutterwave.
yaani Wanaijeria walivyo matapeli halafu nijaze taarifa zangu ninapodeposit. mh!!View attachment 3150990
Mimi tangu tarehe 25 mwezi wa kumi mpaka Leo hakuna pesaPARIPESA ni matapeli msiseme sijawaambia.
Hiyo 150,000/= kama mnavyoona nimewithdraw toka tarehe 7 leo ni siku ya sita hawajaiapprove na email wanajibu kwa kujisikia wao.
Sasa sijui ukishinda mamilioni sidhani kams wataruhusu.
View attachment 3150923
Ww ilikuaje mkuu?Mimi tangu tarehe 25 mwezi wa kumi mpaka Leo hakuna pesa
Mkuu wewe ni mkongwe kidogo kwenye huu uzi unajua wakamalia wamepitia mangapi kuanzia lost hadi uhuni wa makampuniNaamini haipotei na nimeona wamefanya marekebisho haswa kwa mambo ya fedha maana hata nimetaka kutoa Tsh 35,000/= na ikakatwa kwenye account na baada ya dk kama 7 hiyo balance ikarudishwa kwa main account nikajua kuna marekebisho fulani wanafanya.
Hivyo naamini haipotei pesa yako.
Hapo maana yake uchague matokeo ya kipindi cha kwanzaView attachment 3151034
Wanangu nisiumize sana kichwa nikawa overthinking wakati wataalamu wapo humu hapo nikichagua W2 - NO au X-NO maana yake nini
Wamekuzuia kuitoa mkuu? Au uliitoa hawajarudisha mpk sasa?Mkuu wewe ni mkongwe kidogo kwenye huu uzi unajua wakamalia wamepitia mangapi kuanzia lost hadi uhuni wa makampuni
To be honest unatia mashaka sana kila linapo ibuka swala la utapeli wa Paripesa unaibuka kutetea wakati unajua fika hawa ni wahuni tu
Nina hela yangu nyingi sana Paripesa lakini siwezi kuitoa kwa uhuni wao
Paripesa, megapari, helabet, 888staz, Hawa wote scammer kampuni hizi ziko chini ya waafrica wakichukua copy ya 1XBET.. hao paripesa makao makuu Yao yako Uganda.. tumia MELBET, 1XBET AND BETWINNERMkuu wewe ni mkongwe kidogo kwenye huu uzi unajua wakamalia wamepitia mangapi kuanzia lost hadi uhuni wa makampuni
To be honest unatia mashaka sana kila linapo ibuka swala la utapeli wa Paripesa unaibuka kutetea wakati unajua fika hawa ni wahuni tu
Nina hela yangu nyingi sana Paripesa lakini siwezi kuitoa kwa uhuni wao
Nili deposit 50k ikafika fasta tuWamekuzuia kuitoa mkuu? Au uliitoa hawajarudisha mpk sasa?
Dah jamaa waswahili kinoma , pesa wanazotula haziwstoshi, bado wanatutapeli.Nili deposit 50k ikafika fasta tu
Nikabet ikafika kama 600k
Nikatoa laki haijafika mpaka leo
Nikaja nikatoa tena 50k nayo haijafika hadi leo hii
Na hapo tume chat nao na kutmiana email utadhani naomba nini sijui
Balance yangu ya 400k ipo sibet wala nini hadi nihakikishe nikitoa zinatoka ndio nitatoa