Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Weka milioni hapa👇 utakuja kunishukuru
 
Attachments

  • Screenshot_20241113_050909_SportPesa.jpg
    Screenshot_20241113_050909_SportPesa.jpg
    190.7 KB · Views: 4
PARIPESA ni matapeli msiseme sijawaambia.
Hiyo 150,000/= kama mnavyoona nimewithdraw toka tarehe 7 leo ni siku ya sita hawajaiapprove na email wanajibu kwa kujisikia wao.
Sasa sijui ukishinda mamilioni sidhani kams wataruhusu.
Screenshot_20241113_072945_PariPesa.jpg
 
PARIPESA ni matapeli msiseme sijawaambia.
Hiyo 150,000/= kama mnavyoona nimewithdraw toka tarehe 7 leo ni siku ya sita hawajaiapprove na email wanajibu kwa kujisikia wao.
Sasa sijui ukishinda mamilioni sidhani kams wataruhusu.
View attachment 3150923

Naamini haipotei na nimeona wamefanya marekebisho haswa kwa mambo ya fedha maana hata nimetaka kutoa Tsh 35,000/= na ikakatwa kwenye account na baada ya dk kama 7 hiyo balance ikarudishwa kwa main account nikajua kuna marekebisho fulani wanafanya.
Hivyo naamini haipotei pesa yako.
 
Usiwaamini sana mkuu.
Naomba iwe hivyo niipate hiyo pesa niblock na account.
 
We na ser wote wapuuzi tu
Naamini haipotei na nimeona wamefanya marekebisho haswa kwa mambo ya fedha maana hata nimetaka kutoa Tsh 35,000/= na ikakatwa kwenye account na baada ya dk kama 7 hiyo balance ikarudishwa kwa main account nikajua kuna marekebisho fulani wanafanya.
Hivyo naamini haipotei pesa yako.
 
PARIPESA ni matapeli msiseme sijawaambia.
Hiyo 150,000/= kama mnavyoona nimewithdraw toka tarehe 7 leo ni siku ya sita hawajaiapprove na email wanajibu kwa kujisikia wao.
Sasa sijui ukishinda mamilioni sidhani kams wataruhusu.
View attachment 3150923
mimi napata mashaka na betwinner. unapodeposit lazima uweke e-mail yako kwenye website ya Kinaijeria ya flutterwave.

yaani Wanaijeria walivyo matapeli halafu nijaze taarifa zangu ninapodeposit. mh!!
flutterwave betwinner.jpg
 
Screenshot_20241112-234734_1.jpg

Wanangu nisiumize sana kichwa nikawa overthinking wakati wataalamu wapo humu hapo nikichagua W2 - NO au X-NO maana yake nini
 
mimi napata mashaka na betwinner. unapodeposit lazima uweke e-mail yako kwenye website ya Kinaijeria ya flutterwave.

yaani Wanaijeria walivyo matapeli halafu nijaze taarifa zangu ninapodeposit. mh!!View attachment 3150990
Kampuni na ina kibari haiwezi kuwa matapeli kila kampuni Ina aina yake ya kudeposit mfano Melbet unaweka hivyo lakini mfumo wa malipo ni selcom pay
 
Naamini haipotei na nimeona wamefanya marekebisho haswa kwa mambo ya fedha maana hata nimetaka kutoa Tsh 35,000/= na ikakatwa kwenye account na baada ya dk kama 7 hiyo balance ikarudishwa kwa main account nikajua kuna marekebisho fulani wanafanya.
Hivyo naamini haipotei pesa yako.
Mkuu wewe ni mkongwe kidogo kwenye huu uzi unajua wakamalia wamepitia mangapi kuanzia lost hadi uhuni wa makampuni

To be honest unatia mashaka sana kila linapo ibuka swala la utapeli wa Paripesa unaibuka kutetea wakati unajua fika hawa ni wahuni tu

Nina hela yangu nyingi sana Paripesa lakini siwezi kuitoa kwa uhuni wao
 
View attachment 3151034
Wanangu nisiumize sana kichwa nikawa overthinking wakati wataalamu wapo humu hapo nikichagua W2 - NO au X-NO maana yake nini
Hapo maana yake uchague matokeo ya kipindi cha kwanza

Ukichagua Yes maana yake hayo matokeo uliochagua lazima yatokee
Na ukichagua No ni kinyume chake

Kwa mfano wako ukichagua W2 No maana yake nikwamba team ya ugenini isishinde
Ukichagua X No maana yake matokeo yasiwe draw
 
Mkuu wewe ni mkongwe kidogo kwenye huu uzi unajua wakamalia wamepitia mangapi kuanzia lost hadi uhuni wa makampuni

To be honest unatia mashaka sana kila linapo ibuka swala la utapeli wa Paripesa unaibuka kutetea wakati unajua fika hawa ni wahuni tu

Nina hela yangu nyingi sana Paripesa lakini siwezi kuitoa kwa uhuni wao
Wamekuzuia kuitoa mkuu? Au uliitoa hawajarudisha mpk sasa?
 
Paripesa, megapari, helabet, 888staz, Hawa wote scammer kampuni hizi ziko chini ya waafrica wakichukua copy ya 1XBET.. hao paripesa makao makuu Yao yako Uganda.. tumia MELBET, 1XBET AND BETWINNER
 
Wamekuzuia kuitoa mkuu? Au uliitoa hawajarudisha mpk sasa?
Nili deposit 50k ikafika fasta tu

Nikabet ikafika kama 600k
Nikatoa laki haijafika mpaka leo
Nikaja nikatoa tena 50k nayo haijafika hadi leo hii
Na hapo tume chat nao na kutmiana email utadhani naomba nini sijui

Balance yangu ya 400k ipo sibet wala nini hadi nihakikishe nikitoa zinatoka ndio nitatoa
 
Dah jamaa waswahili kinoma , pesa wanazotula haziwstoshi, bado wanatutapeli.
 
Back
Top Bottom