Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Du
Du, all the best mkuu. Naona kweli umejipanga.
 
Meridianbetting.com,premierbetting.com,mkekabet.com,ukiwa pro kna ad ladbroke.com
 
mkuu wewe acha tu. huu mchezo unahitaji uvumilivu wa kutosha. sijaelewa hadi leo kwa nini Ajax wamefungwa nyumbani na kibonde na kuniharibia mkeka wa pesa nyingi.
Mimi jana mechi ya lile nilibet 2+, wametoa 1, wameninyima 40mil
 
ABOUT YESTERDAY...... DAAAAAH
 

Attachments

  • lost 1.png
    7.3 KB · Views: 39
  • lost 2.png
    7.3 KB · Views: 39
Naachana na Meridian bet kuanzia Leo.
Unatoa pesa haifiki kwa wakati,
Nimetoa pesa juzi hadi Leo kimya.
Nilideposit pesa wiki iliyopita hadi Leo haijafika. Dhuluma kubwa sana wanatufanyia Meridian.
Nimejaribu kuwasiliana nao pesa ilishatumwa kitoka voda, tatizo ni wao.
 



JUZI MIMI NIMETOA SAA 12 JIONI MKWANJA UKAFIKA SAA 5 UCKU
 
View attachment 385201


Hili limeshakuwa janga kbs ... ubabaishaji wa namna hii sijui utaisha lini. Mbona betting sites za nje ziko poa 24/7?? Huu ni uhuni kbs
Mkuu nimegundua kwamba siku watu wakishinda sana, siku inayofuata Meridian hukoroga servers zao ili watu tushindwe kubet. Hii sio fair hata kidogo.
 
Wanaudhi sana hawa jamaa...wameishaanza kulewa sifa nyambaf zao!
 
Wakuu mzigo wangu ndo huu
Mnauonaje kabla sijalipia..???

Westham
Real madrid
Psg
Milan
Atletco
Benfica

All team win

Odds 11.02

Cc mtoto wa nzi, tpaul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…