Hii mechi ya Valencia siielewi elewi ... hao La Palmas wanaweza kuharibu sherehe. Bado najifikiria, au ka vpi niachane nayo tu.
[emoji23] [emoji23]Acha tu ...... Kichwa inatakiwa kuwa formated upya .... Hiii window nafikiri itakuwa window 98 .... Inabidi niweke walau window 8 au 10.... Kichwa kizito sana....
du, pole zake. one day yes!
Kuna mdau alikoseshwa 5m (stake 500), kwa kukosekana goli moja tu ... hahahahah
Mkuu ukiona hapaelewek sana piga turbo tu ili hata kamtaji kasiende na majiwakuu mnanishaurije hapa? niendelee kuminya au nitusue fasta?
View attachment 385775
Upo sahihi tu.... Hiii option inachanganya wengi zipo option mbili wanazochanganyaPremier wana option ya WIN EITHER HALF eg,VALENCIA vs LEGANES,Valencia to win either half,na wana odds si haba.Uelewa wangu juu ya option hiyo ni kuwa VALENCIA ashinde kipindi chochote kile hata kama kipindi kingine atadraw au kufungwa.
Swali,kwenu,nipo sahihi kwa ufafanuzi huo,na kama nipo sahihi je,mwaonaje option hiyo?
USIMDANGANYE YA MERIDIAN NI (HALF TIME OR FULL TIME) ...anayoongelea huyu ni TEAM TO WIN EITHER HALFHiyo option iko Meridianbet pia ...
I1*1 au IX*X au I2*2
Maana yake ...
I1*1 - timu ya nyumbani ishinde kipindi chochote. Mfano ikishinda kipindi cha kwanza halafu ikatoa draw au ikashindwa kipindi cha pili, BET is won. Ikitoa draw kipindi cha kwanza au ikashindwa kipindi cha kwanza lkn matokeo ya mwisho ikashinda, BET is won
IX*X - kuwe na draw "sare" kipindi chochote
I2*2 - timu ya ugenini ishinde kipndi chochote.
Yeah uko sahihi mkuuUSIMDANGANYE YA MERIDIAN NI (HALF TIME OR FULL TIME) ...anayoongelea huyu ni TEAM TO WIN EITHER HALF
MAELEZO ULIYOTOA NINYA HALF TIME OR FULL TIME SIO TEAM TO WIN EITHER HALF tafadhali soma vizuri "OR"....... NA ILI UONE TOFAUTI YAKE HALF TIME OR FULL TIME INA CHAGUO LA SARE LAKINI TO WIN EITHER HALF HALINA ... NA HII OPTION HAIPO MERIDIAN IPO PREMEIR BET...
Hivi vitu vinafanya wengi waliwe bila kutarajia... Mfano hiii weekend kuna jamaa katikisha mkeka wake wa Mega Magoli wa million 9 akijua kashinda kumbe kapewa maelekezo ya uongo na mbetishaji..... Nimemuelekeza kapinga kabisa mpaka tukafunga(dau) nkamwambia twende tukaingize kwenye mashine kama ni win tiketi.... Kwenda ni lost... Nkajipatia 10 kwa ubishi wake....Yeah uko sahihi mkuu
Yeah uko sahihi mkuu
Pamoja sana mkuuHivi vitu vinafanya wengi waliwe bila kutarajia... Mfano hiii weekend kuna jamaa katikisha mkeka wake wa Mega Magoli wa million 9 akijua kashinda kumbe kapewa maelekezo ya uongo na mbetishaji..... Nimemuelekeza kapinga kabisa mpaka tukafunga(dau) nkamwambia twende tukaingize kwenye mashine kama ni win tiketi.... Kwenda ni lost... Nkajipatia 10 kwa ubishi wake....
Tuje kwenye hili la HALF TIME OR FULL TIME NA WIN EITHER HALF.... TOFAUTI KUBWA IPO KWENYE VIPINDI ..
TOFAUTI IPOJE!!??
KWENYE HALFTIME OR FULL TIME WANAANGALIA MATOKEO YA VIPINDI VYOTE VIWILI KAMA ULICHAGUA I1*1 na ikatokea kipindi cha kwanza kimeisha kafungwa ili BET IWE WIN kipindi cha pili anatakiwa arudishe na mechi iishe ameshinda ndio maana ya I1*1 yaani ashinde kipindi cha kwanza AU mechi iishe ameshinda TOFAUTI NA WIN EITHER HALF hata kama kipindi cha kwanza amefungwa matokeo ya kipindi cha kwanza HAYAJUMLISHWI NA CHA PILI HAPA KILA KIPINDI KINAJITEGEMEA......
USIMDANGANYE YA MERIDIAN NI (HALF TIME OR FULL TIME) ...anayoongelea huyu ni TEAM TO WIN EITHER HALF
MAELEZO ULIYOTOA NINYA HALF TIME OR FULL TIME SIO TEAM TO WIN EITHER HALF tafadhali soma vizuri "OR"....... NA ILI UONE TOFAUTI YAKE HALF TIME OR FULL TIME INA CHAGUO LA SARE LAKINI TO WIN EITHER HALF HALINA ... NA HII OPTION HAIPO MERIDIAN IPO PREMEIR BET...