Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Half time Over 0.5 (equivalent to I1+) ... hapa imeenda vzr sn. Kuna dalili ya 3+ za kutosha

 

Attachments

  • upload_2016-8-22_21-35-22.png
    7.2 KB · Views: 40
1. Win either Half . Mfano timu A inaifunga timu B goal 3 bila kipindi cha kwanza na kipindi cha pili Timu B nayo inajitutumua kuifunga timu A bao moja bila. Sasa kama ulicheza B win either half utapata ijapokuwa matokeo ya jumla A anaongoza.

2. Kwa upande mwingine HALF TIME or FULL TIME hii option ni kwamba kama umeichagua timu A ishinde half time or full time inailazimu timu husika iongoze kwenye kipindi cha kwanza na ikishindwa kuongoza kipindi cha kwanza basi matokeo yoote ya dakika 90 iongoze.
 
Nilitaka kutupia cha kushangaza mkekabet hawakuweka leo hizi mechi za holland 2
 
HAWA Leganes watasumbua sana hizi timu za katikati za La liga
 
Dah natamani kulia napoona results za uholanzi 2 gg over za kumwagaaaaa dah
 
Vallecia
 
Naombeni namba za premiar 50000 yangu haipo kwenye Ac yangu wakati tigo ilisha toka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…