Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwangu mm kwa haya makampuni ya mrusi hapa bongo aliye na nafuu na ina utulivu kwenye ishu ya pesa ni Betwinner tu angalau anaaminika kuliko hao wengine
 
Ndio ila katuweka kwenye wakati mgumu sana alipoanza kipindi cha pili wakati alikua anaongoza
Mpira haupo hivyo kama unavyofikiri na kaa ukijua timu inaweza ikashinda dakika yoyote na inaweza kugunguwa dakika yoyote ile chamuhimu husiamini matokep mpaka muamuzi amalize mechi.
 
Cashout inapanda na kushuka na muda mwinge inaondoka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…