kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Kinachowashawish wengi kwenda hzo kampuni za kirusi ni masoko waliyonayo , ila usalama wa Hela ya mkamaria uko hatarini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwangu mm kwa haya makampuni ya mrusi hapa bongo aliye na nafuu na ina utulivu kwenye ishu ya pesa ni Betwinner tu angalau anaaminika kuliko hao wengineSasa mateso yote hayo yanini mkuu, Yani uweke Hela uanze kutuma sijui ma email manini , mbona uku sijawah sikia lawama kutoka kampuni zengine, sportbety mbona Haina hzo mambo Yani una deposit na ku withdrawal utakavo ww , hyo kampuni ya mchongo tu , kampuni za mrusi za mchongo , nshawah weka Hela afu kwny kiwithdrawal hakuna mitandao ya bongo ya simu , hzo lawama za Kila siku uku basi jua Wana kasoro sana kwny maswala ya Hela naeza SEMA ni matapeli, Kila ukipita Uzi wanalalamika paripesa tu na si kampuni zengine
Yaani huyu ndio watulaza na viatu kweli 🤣🤣🤣Swwwwaaaaa lile
mbona kashinda mkuu?Yaani huyu ndio watulaza na viatu kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ila katuweka kwenye wakati mgumu sana alipoanza kipindi cha pili wakati alikua anaongozambona kashinda mkuu?
mkuu naomba tutete kidogo pm kama hautojaliNgumu kumeza
Man City Win
Aseno muombe over 1.5
Stake what you can afford to lose 🙏
Yaani timu unaiamini alafu inaanza kukushusha imaniHuyu Milan mbona anamchelewesha kibonde huyu au ndo mchawi mwenyewe leo?
Afadhali kapata goriHuyu Milan mbona anamchelewesha kibonde huyu au ndo mchawi mwenyewe leo?
Tubane tu p*mbu atafanikishaHiii ya mancity leo tuloweka magoli mbona pagumu
Mpira haupo hivyo kama unavyofikiri na kaa ukijua timu inaweza ikashinda dakika yoyote na inaweza kugunguwa dakika yoyote ile chamuhimu husiamini matokep mpaka muamuzi amalize mechi.Ndio ila katuweka kwenye wakati mgumu sana alipoanza kipindi cha pili wakati alikua anaongoza
Benfica na yeye kama mlima wa moto kwake na BolognaHuyu Milan mbona anamchelewesha kibonde huyu au ndo mchawi mwenyewe leo?