anasema tigo walishampa majibu ya confirmation msg ya muamala.. kwa maana hyo aangalie kama alitumia njia sahihi kuweka pesa premier
haha unanikumbusha nmb walivonifanyia.. ngozi nyeusi hii ina maana ndio maana ikawa nyeusi.. ilitakiwe tuwe matumbili tu mitini tunagombea ndizi na matunda mengine.. ubinadam hatuwezi kabisa..
Bet lost.Karabuk win odd 6
Valencia win odd 1.7273
Total odds 10.
Stake 100k
Estimated Returns after tax 867k
Tukutane kesho mrejesho.
Pole sana MkuuBet lost.
hawanaga namba.. tumia contact us (ipo juu kabisa ya premier website au chini kabisa) kuwasiliana nao kwa email..
je ulitumia reference number gani kuwekea pesa?
Ok kamanda. Sema tigo ni wezi kamanda. yani hadi leo nasumbuana nao 300k yangu. alafu kinachoniuma wanakubali kweli hela haikuenda premier bet a.k.a muamala haukukamilika. Nasubiri siku ikirudi hiyo hela naitoa alafu line yao naichoma moto.
usihangaike na premier kaka. piga tigo huduma kwa wateja 100 waambie hilo tatizo. Jitahidi kuwasumbua hela yako itarudi tu. Tigo ni wezi sana tofauti na M pesa na Airtel. Voda wao ukiwapigia ndani ya siku mbili unapewa hela yako. tigo ni wangese sana, MM mwenyewe najuta kutumia tigo maishani mwangu. yan nikiwafikiria tigo walivyo wababaishaji natamani hata nikalipue jengo lao makao makuu. Wezi sana tigo, kuanzia kampuni hadi wafanyakazi wake. grrrrrrrr.
Nilikua nachambua kokolo la ijumaa jamani.
Wale wenzangu wa kujilipua ijumaa 26/08/2016 kuna mechi hizo nyeupe tu.
1. PK 35 Vantaa v Ps Kemi Y
2.FC Kryliya Sovetov Samara v FC Ufa under 2.5 goals FT
3.WSG Wattens v SV Horn Home win
Ngoja nilale sasa, Ijumaa nitamwaga kokolo humu kama Bilu97 a.k.a kokolo boy
Jamaa wanakera katika mitandao ya simu Tigo ni wezi na wanafuga wezi.hawatoi ushilikiano pale unapoibiwaMkuu easy easy easy ... check maneno ya kuandika aisee, yasije yakaja kuku-cost
"...natamani hata nikalipue jengo lao makao makuu" ... mmmh.
Atakuwa amekosea reference numberanasema tigo walishampa majibu ya confirmation msg ya muamala.. kwa maana hyo aangalie kama alitumia njia sahihi kuweka pesa premier
ww unamlipa mfanyakazi 200k@ month kwenye kampuni alafu anaona kila siku buddy anaweka 300k kwaajili ya kubet kwa nn asiipinge panga juu kwa juu akijua kesho ataweka tena. Kumbe hela zenyewe tumeuza magunia ya maharagee. Tigo jamani acheni utapeli wa kukaa na mitaji wa watu jamani. tehh tehhh
hata mimi nilishawahi kudeposit nikaletewa meseji ya muhamala lakini kwenye balance premier haikufika.Nikawapigia tigo wakaniambia watashughulikia baada ya masaa 72.mpaka leo kimyaNaombeni namba za premiar 50000 yangu haipo kwenye Ac yangu wakati tigo ilisha toka
Sorry premier online naipataje?hata mimi nilishawahi kudeposit nikaletewa meseji ya muhamala lakini kwenye balance premier haikufika.Nikawapigia tigo wakaniambia watashughulikia baada ya masaa 72.mpaka leo kimya
Mi nahisi Villarreal double chanceLeo Nimetoka Hivi Mwenye maoni karibu Bado Mkeka sijalipia hizo Point kwa mwajibu wa Mkekabet
Legia Warszawa vs Dundalk ( home team win 1.40)
Monaco vs Villarreal (Monaco Double Chance 1.40)
Hapoel Beer Sheva vs Celtic (Celtic Double Chance 1.57)
Point 3.08
Jr