Anelekeze wakuuKila anaeleta wazo la Rollover huwa harudi🤣🤣🤣🤣anapotea kimya kimyaaaaa
Yaani umaset stake au mtaji Fulani mfano Buku au kiasi chochoteNaomba anayejua hiyo
Anelekeze wakuu
Odds za KimkakatiJana nmbetia arsenal mwanamke katika mkeka wangu kumbe hailuwa mechi Jana ni leo... nikadhani Nitawekrwa cashout hata 250k hivi lakini naona hadi muda huu jamaa wamegoma kuniwekea kacashout
Okay sasa hapo ndio nimeelewa. Maana toka mwanzo nilijua labda ni programu ambayo inajitegemea tofauti na tunavyo betYaani umaset stake au mtaji Fulani mfano Buku au kiasi chochote
Kisha unacheza Mkeka wa Kimkakati,wengi hupenda kucheza Odds 2 tuuuu,kisha zikitoa basi pesa yake ulioshinda UnaBET Tena Odds mbili,ukila tena unaiweka pesa yote unayoshinda Katika ODDS mbili ,tunaendelea hivyo hivyo kama ni mwezi kisha unatulia
Ila kila mwenye mpango huo ikifika siku ya 3 akizidi siku kumi Bahati, Muhindi anasepa na pesa yote.
Watu zaidi ya 50 walikuwa na chati humu mpaka leo hawajarudi Tena na wazi hilo🤣🤣🤣🤣. Wengine Mechi ya mwanzo tu Muhindi kapita na pesa yote
So,ni mkakatiki kimtizamo ni mwepesi mnoo ila Ingia NDIO utajua,ila narejea kusema bado betting ni Bahati
Aaah mi nikitaka nicashout nipate ya kubet leo kama hawacashout muda huu naisubiri tu babaOdds za Kimkakati
Cashout wataifungua Mechi ilianza,ila unaweza kukuta 150,000
Muhim Fanya regular check up,wakifungua tu pita nayo licha ya kwamba Arsenal ya Kinamama wapo vizuri
Roll over imekuwa ngumu kwa sababu wengi hawana utulivu na pia Kuna ile Hali ya kutamani kuwini haraka hizi siku ni nyingi mkamalia kuvumiliaKuna mkuu mmoja kapost hii idea hapo na kaweka huu mfano wa chart ulivyo 👇👇👇
Mimi naweka 10k , nakusubiriniKuanzia leo hadi tatehe 24 tufanyeni msako wa hela ya Xmass kwa mtaji wa buku tujaribu kuzungusha ROLLOVER ya wastani wa odd 2, kwamana ya kwamba tucheze na odd 1.5 hadi odd 2 na point
Malengo yawe 1M+
Weka buku tu kwenye kambuni ambayo huitumii kubet kila siku halafu tuanze safari
Sio kazi RAHISI hata kidogo na inataka moyo kuvumilia kamtaji kakinona kila odd utaiona NGUMU😂
LAKINI kujaribu sio KUSHINDWA
Hata hivyo mbona tuna liwa tu kila siku..... why not
Humu manguli wa odd 1.5 hadi 2 wapo wengi
Leo binafsi jioni nitaanza kwa kutoa odd -2 halafu siku zinavyo kwenda wadau wengine tutashauriana tutoke vipi
Nawasilisha
Kwanini tusiroll 3 days odd 5Kila anaeleta wazo la Rollover huwa harudi🤣🤣🤣🤣anapotea kimya kimyaaaaa
Naona mhindi anatafutwa kwa namna yoyote ileJana nmbetia arsenal mwanamke katika mkeka wangu kumbe hailuwa mechi Jana ni leo... nikadhani Nitawekrwa cashout hata 250k hivi lakini naona hadi muda huu jamaa wamegoma kuniwekea kacashout
Hiyo ni mbaya siku ukiteleza mzigo wote unarud kwa kanji yan unakua kama ulimtunzia yeye. Na ni possible kwa sababu bahat haiwezi kua kwako kila siku.Kwanini tusiroll 3 days odd 5
Humo humo paripesa wengine tunakula na hela tunatoa saafi kabisa bila kelele yoyotePARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
OGOPA PARIPESA❌❌❌❌❌❌❌
Mkuu ulivyo comment hivi watu watasema wewe na mimi ni kitu kimoja.Humo humo paripesa wengine tunakula na hela tunatoa saafi kabisa bila kelele yoyote