Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nmbetia arsenal mwanamke katika mkeka wangu kumbe hailuwa mechi Jana ni leo... nikadhani Nitawekrwa cashout hata 250k hivi lakini naona hadi muda huu jamaa wamegoma kuniwekea kacashout
 
Attachments

  • Screenshot_20241212_112050_SportyBet.jpg
    Screenshot_20241212_112050_SportyBet.jpg
    154.2 KB · Views: 2
Naomba anayejua hiyo

Anelekeze wakuu
Yaani umaset stake au mtaji Fulani mfano Buku au kiasi chochote
Kisha unacheza Mkeka wa Kimkakati,wengi hupenda kucheza Odds 2 tuuuu,kisha zikitoa basi pesa yake ulioshinda UnaBET Tena Odds mbili,ukila tena unaiweka pesa yote unayoshinda Katika ODDS mbili ,tunaendelea hivyo hivyo kama ni mwezi kisha unatulia

Ila kila mwenye mpango huo ikifika siku ya 3 akizidi siku kumi Bahati, Muhindi anasepa na pesa yote.

Watu zaidi ya 50 walikuwa na chati humu mpaka leo hawajarudi Tena na wazi hilo🤣🤣🤣🤣. Wengine Mechi ya mwanzo tu Muhindi kapita na pesa yote

So,ni mkakatiki kimtizamo ni mwepesi mnoo ila Ingia NDIO utajua,ila narejea kusema bado betting ni Bahati
 
Jana nmbetia arsenal mwanamke katika mkeka wangu kumbe hailuwa mechi Jana ni leo... nikadhani Nitawekrwa cashout hata 250k hivi lakini naona hadi muda huu jamaa wamegoma kuniwekea kacashout
Odds za Kimkakati

Cashout wataifungua Mechi ilianza,ila unaweza kukuta 150,000

Muhim Fanya regular check up,wakifungua tu pita nayo licha ya kwamba Arsenal ya Kinamama wapo vizuri
 
Yaani umaset stake au mtaji Fulani mfano Buku au kiasi chochote
Kisha unacheza Mkeka wa Kimkakati,wengi hupenda kucheza Odds 2 tuuuu,kisha zikitoa basi pesa yake ulioshinda UnaBET Tena Odds mbili,ukila tena unaiweka pesa yote unayoshinda Katika ODDS mbili ,tunaendelea hivyo hivyo kama ni mwezi kisha unatulia

Ila kila mwenye mpango huo ikifika siku ya 3 akizidi siku kumi Bahati, Muhindi anasepa na pesa yote.

Watu zaidi ya 50 walikuwa na chati humu mpaka leo hawajarudi Tena na wazi hilo🤣🤣🤣🤣. Wengine Mechi ya mwanzo tu Muhindi kapita na pesa yote

So,ni mkakatiki kimtizamo ni mwepesi mnoo ila Ingia NDIO utajua,ila narejea kusema bado betting ni Bahati
Okay sasa hapo ndio nimeelewa. Maana toka mwanzo nilijua labda ni programu ambayo inajitegemea tofauti na tunavyo bet
 
Kuanzia leo hadi tatehe 24 tufanyeni msako wa hela ya Xmass kwa mtaji wa buku tujaribu kuzungusha ROLLOVER ya wastani wa odd 2, kwamana ya kwamba tucheze na odd 1.5 hadi odd 2 na point
Malengo yawe 1M+

Weka buku tu kwenye kambuni ambayo huitumii kubet kila siku halafu tuanze safari

Sio kazi RAHISI hata kidogo na inataka moyo kuvumilia kamtaji kakinona kila odd utaiona NGUMU😂
LAKINI kujaribu sio KUSHINDWA
Hata hivyo mbona tuna liwa tu kila siku..... why not

Humu manguli wa odd 1.5 hadi 2 wapo wengi
Leo binafsi jioni nitaanza kwa kutoa odd -2 halafu siku zinavyo kwenda wadau wengine tutashauriana tutoke vipi

Nawasilisha
Mimi naweka 10k , nakusubirini
 
Back
Top Bottom