Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnasema Paripesa matapeli, haya wale watumiaji wa betwinner kule nako vipi? Coz mobile payments wameondoa zote hadi
Kila wakati tunawakumbusha kwamba kampuni zote za Mrusi jamii ya 1xbet ni BET AT YOUR RISK

Hizi kampuni zina uhuni na ubabaishaji mwingi sana

Binafsi natumi 1xbet na wakala ninaye mtumi ni ROMANO angalau unahuhakika kwenye Hizi transactions zetu za chini ya 1M
Lakini nao ukiwapiga parefu ni mtihani kulipwa hela zako

So unapo bet na hizi kampuni ujiandae kisaikolojia kwa hela yako kuchelewa au kutokufika kabisa uki deposit au withdraw
 
ILa hawa Chelsea msimu jana wakati wna wanafanya recruiment tuliwacheka sana lakini msimu huu wana timu sana nje na ndani
Wewe fikiria Spurs akupige 2 chapu kisha unarudi unashinda 4
Na kama bado.wana nia ya kumsajili Osimene January basi watatisha zaidi.. muhimu tu waangalie kuimarishaeneo la ulinzi tu maana kuconcede kwao ni kama Jadi
 
WAkamalia haka kambinu ni kazuri tusikaache

Day 1_1.5×10,000=15,000
Day 2_1.5×15000=22,500
Day 3_1.5×22500=33,750
Day 4_1.5×33750=50,625
Day 5_1.5×50625=75,937
Day 6_1.5×75,937=113,906
Day 7_1.5×113,906=170859
Day 8_1.5×170859=256,289
Day 9_1.5×256,289=384,434
Day 10_1.5×384,433=576,650

Sio lazima ufike siku 10,hii ni bora kuliko treni
 
Kwani SPORTY bety nayo ni ya Mrusi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…