Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamaa nimemfta pm ila afungui ngoja tuu namsaka
Kumbe nyinyi watoto wa humu ni mang'ombe kweli aliekwambia kubet lazima ule nani. Juzi kati nimetuma odds zaidi ya kumi zimetoa zote hujaja kusema chochote jana kuliwa 5000 unalialia unajua mimi nimepoteza kiasi gani kwenye ile code. Na ile code imechana timu moja tu nao wametoa corner draw ukiona code nimetuma usiifate si mmezoea kuuziwa codes kule X na FB.
 
Nataka pesa angu bloo..

Mi sio wa hivo naona ulifanya vile makusudi kuniingiza mkenge...

Aiwezekani kona zitoke droo
 
PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
OGOPA PARIPESA❌❌❌❌❌❌❌
Vipi unataka kushindana na mshana jr kuwa na post nyingi Jf?

Umeweka tangu huko ulikotoka tumeona, naona sana unachofanya hapa ni kushindana na SER maana hakuna mwingine zaidi yake anaweka code za hiyo kampuni.

Inatosha ila kama ni kuwa na wewe unakuja na C&P kila page na iwe heri kwako.
 
NATAKA AACHE KULETA KAMPUNI ZA KITAPELI HUMU

PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
PARI PESA NI MATAPELI
OGOPA PARIPESA❌❌❌❌❌❌❌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…