Hii ni code yako nimecopy na kupaste kwenye Paripesa na mbona inakata kodi?Mkuu Paripesa Hawana Kodi. Jaribu kutumia uone.
Mkuu unakumbuka issue yangu mpaka nilikuja DM kwako? Hao Paripesa utakuwa unajuana nao wewe tu nafikiri. Kuweka hakuna shida tatizo linakuja unapotaka kutoa hiyo pesa yako.
Hii ni code yako nimecopy na kupaste kwenye Paripesa na mbona inakata kodi?
Mkuu hata mimi natumia 1xbet na Megapari ambazo hazijasajiliwa Tz lakini najua na ninabet at my own risk.. hata nikidhulumiwa sina pa kwenda kushitaki
Lakini wewe hii gia ya kuwadanganya watu kuwa Paripesa imesajili Tz ni UONGO na huna hata moja unalolijua zaidi ya kulipwa kamisheni yako mtu akijiunga kwa promo code yako na kudeposit
Mkuu kuna maelezo yoyote nimesema PariPesa imesajiliwa Tanzania? Nimekuambia hivi PariPesa kwa sasa hawana makato ya kodi ila mwanzo yalikuwapo. Tangu watoe hata miezi 5 haijafika.Hii ni code yako nimecopy na kupaste kwenye Paripesa na mbona inakata kodi?
Mkuu hata mimi natumia 1xbet na Megapari ambazo hazijasajiliwa Tz lakini najua na ninabet at my own risk.. hata nikidhulumiwa sina pa kwenda kushitaki
Lakini wewe hii gia ya kuwadanganya watu kuwa Paripesa imesajili Tz ni UONGO na huna hata moja unalolijua zaidi ya kulipwa kamisheni yako mtu akijiunga kwa promo code yako na kudeposit
Kuna watu mna utani😀😀😀View attachment 3180556
Hii kweli high staked 😂😂
Ungeandika kistaarabu tu na kuwatag, wangesoma na ungeeleweka. Kwa style hii watakupiga ban wewe sasa.Moderator mpigie ban Ser anachafua na kupotosha watu hivi huoni huu ushuzi
Moderator mpigie ban Ser anachafua na kupotosha watu hivi huoni huu ushuzi

Ndo huyu
Kayombo Tips
Waliongea na serikali ipi kwamba kodi watalipa Paripesa wenyewe wakati kampuni halijasajilwa Tanzania?Mkuu hakuna wizi hapo. Mwanzo PariPesa walikuwa wana kodi kwenye kila ushindi. Nadhani waliongea na serikali kodi inalipwa na wao.
Mkuu kwani 1xbet imesajiliwa Tanzania? Mbona kuna makato ya kodi kwenye kila ushindi? Makato ya kodi haijalishi kama kampuni ipo Tanzania au la. Ndiyo maana mwanzo PariPesa walikuwa wanalipa kodi ambapo 1xbet walikuwa hawalipi kodi. Mkuu mimi nimehadaa na hadaa kitu gani mkuu? Mkuu changamoto za malipo zipo kwenye kampuni zote za mrusi. Iwe 1xbet, Helabet au Megapari. Sasa mimi nimehadaa kitu gani. Halafu pia mkuu, mtu kujiunga kwenye kampuni yoyote ile ni hiari ya mtu. Hakuna mtu anayelazimisha kujiunga. Ila changamoto za Kudeposit na kuwithdraw huwa inatokea kwenye kampuni zote. Mimi napenda kutumia kampuni za mrusi, Siyo PariPesa tu, natumia 1xbet, Megapari, Betwinner nk, ila huwa sipendi Kuweka mikeka yote hapa. Nabet mikeka mingi kwenye kampuni tofauti tofauti kwa siku na siwezi post yote hapaWaliongea na serikali ipi kwamba kodi watalipa Paripesa wenyewe wakati kampuni halijasajilwa Tanzania?
Mkuu acha kuwahadaa wenzako kisa commission ya promo code
Hata kama unatafuta riziki lakini usiwajaze watu uongo uongo
Kampuni gani kila ukitaka kutoa hela lazima msumbuane kwa email utadhani unaomba kazi bana
NAMCHUKIA SANA mtu anayetumia wakamalia kuwa hadaa ili apate hela na akiwaacha wakiahangaika
Acha swala la makato ya kodi unawezaje kuweka kirahisi pesa halafu kutoa iwe ngumu huu ushenzi , watu wengine wameufanya betting kama kazi yao lakini pia wanaitegemea Sasa wewe unapowashawishi watu kila siku kwenye kampuni inayo lalamikiwa yaani haiingii akilini naweka pesa kiulaini ila kutoa haiweziekani ??? Hiii inaingia akilini? Toka humu achakupotosha watu.Mkuu kwani 1xbet imesajiliwa Tanzania? Mbona kuna makato ya kodi kwenye kila ushindi? Makato ya kodi haijalishi kama kampuni ipo Tanzania au la. Ndiyo maana mwanzo PariPesa walikuwa wanalipa kodi ambapo 1xbet walikuwa hawalipi kodi. Mkuu mimi nimehadaa na hadaa kitu gani mkuu? Mkuu changamoto za malipo zipo kwenye kampuni zote za mrusi. Iwe 1xbet, Helabet au Megapari. Sasa mimi nimehadaa kitu gani. Halafu pia mkuu, mtu kujiunga kwenye kampuni yoyote ile ni hiari ya mtu. Hakuna mtu anayelazimisha kujiunga. Ila changamoto za Kudeposit na kuwithdraw huwa inatokea kwenye kampuni zote. Mimi napenda kutumia kampuni za mrusi, Siyo PariPesa tu, natumia 1xbet, Megapari, Betwinner nk, ila huwa sipendi Kuweka mikeka yote hapa. Nabet mikeka mingi kwenye kampuni tofauti tofauti kwa siku na siwezi post yote hapa
Mkuu naweza Kuweka hata za Betwinner, 1xbet na Helabet siyo PariPesa tu.Acha swala la makato ya kodi unawezaje kuweka kirahisi pesa halafu kutoa iwe ngumu huu ushenzi , watu wengine wameufanya betting kama kazi yao lakini pia wanaitegemea Sasa wewe unapowashawishi watu kila siku kwenye kampuni inayo lalamikiwa yaani haiingii akilini naweka pesa kiulaini ila kutoa haiweziekani ??? Hiii inaingia akilini? Toka humu achakupotosha watu.
Humu ndani bana wewe kama unapenda paripesa weka game potea sio kukaa unashawishi watu watumie hiyo kampuni kwani hizo game hazipo pengine
Mkuu usijali kesho naanza Kuweka za Betwinner na 1xbet. RelaxAcha swala la makato ya kodi unawezaje kuweka kirahisi pesa halafu kutoa iwe ngumu huu ushenzi , watu wengine wameufanya betting kama kazi yao lakini pia wanaitegemea Sasa wewe unapowashawishi watu kila siku kwenye kampuni inayo lalamikiwa yaani haiingii akilini naweka pesa kiulaini ila kutoa haiweziekani ??? Hiii inaingia akilini? Toka humu achakupotosha watu.
Humu ndani bana wewe kama unapenda paripesa weka game potea sio kukaa unashawishi watu watumie hiyo kampuni kwani hizo game hazipo pengine