Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu Paripesa Hawana Kodi. Jaribu kutumia uone.
Hii ni code yako nimecopy na kupaste kwenye Paripesa na mbona inakata kodi?

Mkuu hata mimi natumia 1xbet na Megapari ambazo hazijasajiliwa Tz lakini najua na ninabet at my own risk.. hata nikidhulumiwa sina pa kwenda kushitaki

Lakini wewe hii gia ya kuwadanganya watu kuwa Paripesa imesajili Tz ni UONGO na huna hata moja unalolijua zaidi ya kulipwa kamisheni yako mtu akijiunga kwa promo code yako na kudeposit
 
Attachments

  • 2592C35C-8E47-440E-9DC5-FDBF9FA0B2FF.png
    2592C35C-8E47-440E-9DC5-FDBF9FA0B2FF.png
    197.4 KB · Views: 1
Mkuu unakumbuka issue yangu mpaka nilikuja DM kwako? Hao Paripesa utakuwa unajuana nao wewe tu nafikiri. Kuweka hakuna shida tatizo linakuja unapotaka kutoa hiyo pesa yako.

Mimi nilitoa pesa kwa awamu mbili 12/13 mwezi huu ikawa pending ila nilipowasiliana nao baada ya siku tatu wakaweka yote kwenye account na ndipo nilidraw bila shida yeyote✅✅✅💯💯
 
Hii ni code yako nimecopy na kupaste kwenye Paripesa na mbona inakata kodi?

Mkuu hata mimi natumia 1xbet na Megapari ambazo hazijasajiliwa Tz lakini najua na ninabet at my own risk.. hata nikidhulumiwa sina pa kwenda kushitaki

Lakini wewe hii gia ya kuwadanganya watu kuwa Paripesa imesajili Tz ni UONGO na huna hata moja unalolijua zaidi ya kulipwa kamisheni yako mtu akijiunga kwa promo code yako na kudeposit
Screenshot_20241220-134508_2.jpg

Mkuu Paripesa gani unayotupia wewe? Mbona mimi natumia na haina kodi? Je na watumiaji wengine wa PariPesa wanakatwa kodi? Ona screenshot yangu ya muda huu haina kodi
 
Hii ni code yako nimecopy na kupaste kwenye Paripesa na mbona inakata kodi?

Mkuu hata mimi natumia 1xbet na Megapari ambazo hazijasajiliwa Tz lakini najua na ninabet at my own risk.. hata nikidhulumiwa sina pa kwenda kushitaki

Lakini wewe hii gia ya kuwadanganya watu kuwa Paripesa imesajili Tz ni UONGO na huna hata moja unalolijua zaidi ya kulipwa kamisheni yako mtu akijiunga kwa promo code yako na kudeposit
Mkuu kuna maelezo yoyote nimesema PariPesa imesajiliwa Tanzania? Nimekuambia hivi PariPesa kwa sasa hawana makato ya kodi ila mwanzo yalikuwapo. Tangu watoe hata miezi 5 haijafika.
 
Sportybet

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

BF6011

05272A

Weka hata Tshs 500 tusubiri

Ukichukua code yoyote jifunze kulipia hiyo code hata kwa dau dogo tu halafu unaweza edit
 
Moderator mpigie ban Ser anachafua na kupotosha watu hivi huoni huu ushuzi

Ndo huyu

Kayombo Tips
 
  • Thanks
Reactions: Ser

Ungeandika kistaarabu tu na kuwatag, wangesoma na ungeeleweka. Kwa style hii watakupiga ban wewe sasa.
 
Mkuu hakuna wizi hapo. Mwanzo PariPesa walikuwa wana kodi kwenye kila ushindi. Nadhani waliongea na serikali kodi inalipwa na wao.
Waliongea na serikali ipi kwamba kodi watalipa Paripesa wenyewe wakati kampuni halijasajilwa Tanzania?
Mkuu acha kuwahadaa wenzako kisa commission ya promo code

Hata kama unatafuta riziki lakini usiwajaze watu uongo uongo
Kampuni gani kila ukitaka kutoa hela lazima msumbuane kwa email utadhani unaomba kazi bana

NAMCHUKIA SANA mtu anayetumia wakamalia kuwa hadaa ili apate hela na akiwaacha wakiahangaika
 
Mkuu kwani 1xbet imesajiliwa Tanzania? Mbona kuna makato ya kodi kwenye kila ushindi? Makato ya kodi haijalishi kama kampuni ipo Tanzania au la. Ndiyo maana mwanzo PariPesa walikuwa wanalipa kodi ambapo 1xbet walikuwa hawalipi kodi. Mkuu mimi nimehadaa na hadaa kitu gani mkuu? Mkuu changamoto za malipo zipo kwenye kampuni zote za mrusi. Iwe 1xbet, Helabet au Megapari. Sasa mimi nimehadaa kitu gani. Halafu pia mkuu, mtu kujiunga kwenye kampuni yoyote ile ni hiari ya mtu. Hakuna mtu anayelazimisha kujiunga. Ila changamoto za Kudeposit na kuwithdraw huwa inatokea kwenye kampuni zote. Mimi napenda kutumia kampuni za mrusi, Siyo PariPesa tu, natumia 1xbet, Megapari, Betwinner nk, ila huwa sipendi Kuweka mikeka yote hapa. Nabet mikeka mingi kwenye kampuni tofauti tofauti kwa siku na siwezi post yote hapa
 
Acha swala la makato ya kodi unawezaje kuweka kirahisi pesa halafu kutoa iwe ngumu huu ushenzi , watu wengine wameufanya betting kama kazi yao lakini pia wanaitegemea Sasa wewe unapowashawishi watu kila siku kwenye kampuni inayo lalamikiwa yaani haiingii akilini naweka pesa kiulaini ila kutoa haiweziekani ??? Hiii inaingia akilini? Toka humu achakupotosha watu.

Humu ndani bana wewe kama unapenda paripesa weka game potea sio kukaa unashawishi watu watumie hiyo kampuni kwani hizo game hazipo pengine
 
Mkuu naweza Kuweka hata za Betwinner, 1xbet na Helabet siyo PariPesa tu.
 
Acha swala la makato ya kodi unawezaje kuweka kirahisi pesa halafu kutoa iwe ngumu huu ushenzi , watu wengine wameufanya betting kama kazi yao lakini pia wanaitegemea Sasa wewe unapowashawishi watu kila siku kwenye kampuni inayo lalamikiwa yaani haiingii akilini naweka pesa kiulaini ila kutoa haiweziekani ??? Hiii inaingia akilini? Toka humu achakupotosha watu.

Humu ndani bana wewe kama unapenda paripesa weka game potea sio kukaa unashawishi watu watumie hiyo kampuni kwani hizo game hazipo pengine
Mkuu usijali kesho naanza Kuweka za Betwinner na 1xbet. Relax
 
Back
Top Bottom