Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We acha tu! Alivyopigwa 1 nikamfata tena maana odds zilikuwa zimeshiba nayo kuchemka.
City kakata upepo, mpaka sasa wachezaji kisaikolojia ni kama wamekubali msimu umeisha so wanasubiri msimu ujao. Tusitegee maajabu yoyote kwa City msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…