Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tusisahau kubetia pesa ya kanji ...haya matreni haya aminiki sana hii nipesa ya kanji

B339AE
 

Attachments

  • Screenshot_20241222-122053_SportyBet.jpg
    104.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241222-122130_SportyBet.jpg
    129.8 KB · Views: 2
Mkuu kama unapenda kampuni za mrusi tumia hizo hapo hazina longolongo.
Hawana kodi na wana njia za mobile payment na mawakala pia kama 1xbet.
Megapari ndio hapo han mawakala.
 
Hizo code weka na Code za wanigeria oyaaaa andaa Milion utapotea kwa kuweka 100 miaa na hutakulaa hata mojaaa...!! Utapeli tuu
Unavosema utapeli je ni kwamba wanajua kwamba gemu itaishaje au, hzo code ni za mikeka iliyowekwa na wanaotumia SportyBet hata ww mkeka wako upo kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…