Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

EFL leo timu zote za EPL kuna uwezekano zikashinda zote
 
Msaada jamani team niliyo kuwa naisubiri monaco imeshida dakika 1 ya niongeza vip hapo nimekula au nishapoteza
 
Dakika za nyongeza Ni sehemu ya zile 90 kufidia muda uliopotea kutokana na majeruhi au anything else
Duuuuh nimepona Kwenye tundu la sindano mkuu nimempasua mzungu najaribu kuatach mkeka na feli
Thanks mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…