Goya Montoya
Member
- Jan 30, 2019
- 52
- 38
Kakupa ulichokitakaNimemuomba Goal 2 aseeh
😘😘Kashafunga mawili mbona
😄😄Raha ya mkeka ni kuona game za mapema zimetoa
😂
Subiri kivumbi sasa cha kuanzia saa kumi na moja ndio utajua "holiday eve is not for everybody"
***** nina miaka miwili nafatilia code za wanaigeria sijawai hata kuambulia cash out ya elfu 5Hizo code weka na Code za wanigeria oyaaaa andaa Milion utapotea kwa kuweka 100 miaa na hutakulaa hata mojaaa...!! Utapeli tuu
Mkuu sio poa nimemute hata notifocations huko nisijue kilichobakiyaaai huyu celtic fu****n kila siku najisahau nawaweka tena....haya mida ya kujiuliza hii tena
HatariMan united win or draw, tunasalimiwa.