Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

acha mkuu,
mkeka wa 1 alikula celtic,
wa 2 man u dc,.
wa tatu chelsea over 1.5


huu watatu ndio kabisaaaa kuna vibwengo vingi, atleast nilitegemea man u anip dc
Mimi asubuhi kuna jamaa alinitonya nimpe Bournemouth handcap ya 2, nikajifanya nina akili sana, nikampa man u dc.
 
Yani Leo huna wa kumlaumu πŸ˜‚ unashindwa umlaumu nani , man u atapona matusi mana Celtic ,Fulham , Chelsea wote wameshindwa kufunga goli Moja tu Yani mech zote 0-0 , Bora man u kawapa wazee wa over 1.5 πŸ˜‚
 
Sasa subiri hiyo boxing day ndio kilio kitakuwa kikubwa zaidi

Celtic
Fulham
Man u
Chelsea

Niliwaambia humu baada ya ajax na As roma kushinda cash out
 
Sema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya 😒 😭 😒 😭

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…