Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
hii ni man yuu au takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha mkuu,Man united win or draw, tunasalimiwa.
Uliibetia auhii ni man yuu au takataka
Mimi asubuhi kuna jamaa alinitonya nimpe Bournemouth handcap ya 2, nikajifanya nina akili sana, nikampa man u dc.acha mkuu,
mkeka wa 1 alikula celtic,
wa 2 man u dc,.
wa tatu chelsea over 1.5
huu watatu ndio kabisaaaa kuna vibwengo vingi, atleast nilitegemea man u anip dc
Big Lost 100%
Kila la kheri uko vizuri , sie tunabetia probability Kila siku vilio mpka odd 1.01 inakuchaniaMaombi yenu wadauView attachment 3182727
Nashukuru mkuu, ngoja nisogee huko, jamaa wana options nyingi nzuriTumia megapari ndio best kwangu,Unatoa na kuweka mwenyewe bila wakala na haina usumbufu
Imeishatiki hii👏👏👏👏Maombi yenu wadauView attachment 3182727
Kuna timu kama zinabet vileSema wakuu betting ni hatari sana utrecht kaninyima m7 na alikua anaongoza aisee sikukuu imeniendea vibaya 😢 😭 😢 😭
Beti Mtandaoni | Odds Kubwa Meridianbet | Michezo ya kubeti
Beti mtandaoni kwenye michezo yote kupitia jukwaa namba moja la kubeti Tanzania. Furahia odds kubwa, jisajili na uanze kubeti mtandaoni leo.meridianbet.co.tz
Mwanangu Acha kabisa nina tiketi zingine nne za mamiliaoni zinachana timu moja moja dhaaaKuna timu kama zinabet vile