kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Odd za over kwny basketball ndogo sana utaikuta 1.20+ ila mpira over 0.5 odd 1.01 na inachanaWacha nijikite kwny basketball π, mipira ni jau sana watu wanacheza lisaa lizima na nusu bila kufunga goli , mpira ndo mchezo pekee duniani watu wanacheza without score
Mna hangaika kama vile Sio wasomi..mitandao YA simu Ina visa kadi...hivyo fungua visa kadi ya mtandao wako Tigo au voda..Airtel Kisha deposit Kwa kutumia visa kadi yako..Kuna option YA malipo via Visa KadiWakuu hivi sikuhiz unaweza kuweka hela 1xbet bila kutumia wakala?
Msomi umeshawahi kuwithdraw kwa VISA card ya mitandao ya simu?Mna hangaika kama vile Sio wasomi..mitandao YA simu Ina visa kadi...hivyo fungua visa kadi ya mtandao wako Tigo au voda..Airtel Kisha deposit Kwa kutumia visa kadi yako..Kuna option YA malipo via Visa Kadi
Hutojutia tena
Sawa msomi,Embu jaribu kutoa hela kwa kutumia VisaMna hangaika kama vile Sio wasomi..mitandao YA simu Ina visa kadi...hivyo fungua visa kadi ya mtandao wako Tigo au voda..Airtel Kisha deposit Kwa kutumia visa kadi yako..Kuna option YA malipo via Visa Kadi
Hutojutia tena
Alafu anatoajeMna hangaika kama vile Sio wasomi..mitandao YA simu Ina visa kadi...hivyo fungua visa kadi ya mtandao wako Tigo au voda..Airtel Kisha deposit Kwa kutumia visa kadi yako..Kuna option YA malipo via Visa Kadi
Hutojutia tena
Betpawa hamuitakiSportybet
πππππππ
3F085B
πππππππ
Betpawa wahuni sanaBetpawa hamuitaki
Msomi yeye huwa ana deposit tu.Msomi umeshawahi kuwithdraw kwa VISA card ya mitandao ya simu?
Hahaha! Kweli comment yake inaonesha huwa anadeposit tu. Ninavyofanya huwezi kuwithdraw kwa VISA za mitandao ya simu huko kote tulishajaribu.Msomi yeye huwa ana deposit tu.
Yaani stake ya TZS 500/- ndio kujilipua??Betway
π
13D57DCA
13D589FB
Nimejilipua hizo code nimeweka stake ya Tshs 500/= kwa code ya kwanza na Tshs 4000/= kwa code ya pili
πππππππ
π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅
Zishatiki option zote tatu