kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Odd za over kwny basketball ndogo sana utaikuta 1.20+ ila mpira over 0.5 odd 1.01 na inachanaWacha nijikite kwny basketball π, mipira ni jau sana watu wanacheza lisaa lizima na nusu bila kufunga goli , mpira ndo mchezo pekee duniani watu wanacheza without score