JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Mkuu Paripesa Hawana Kodi. Hebu Weka Stake Yako halafu uone kama kuna kodi ya Serikali. Na kuna wengine wengi wamestake na hakuna makato ya kodi ya Serikali. Na stake kila siku hakuna makato ya kodi. Wewe unatumia PariPesa lakini? Kama unatumia, hebu tengeneza Mkeka wowote, stake kisha niambie kama kuna kodi.Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
Bado unatuma barua kupitia shirika la posta!?Code za betpawa hatuzioni maofisa
Mi Kwa Kweli sometimes siwaelewi mnachomlalamikia jamaa .... Mnalalamika nini haswa Kodi hakatwi!?? Au Kampuni ya kitapeli!?? Machaguo anayoweka hayapo!?? Madau anayoweka ya uongo!? Sielewi yaani ... Nipo kwenye huu Uzi tangu ulipoanza miaka ya 2012/13 huko sijawahi onaga mabishano yasiyo na afya kama haya ya kwenu .... Kama hamridhiki na anachopost si unaanchana naye. Mfano Mimi Nina akounts zaidi ya kampuni 15 ndio 15 ... Inategemea nataka kucheza vitu gani na kampuni gani Ina masoko gani ...Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
SecondedMi Kwa Kweli sometimes siwaelewi mnachomlalamikia jamaa .... Mnalalamika nini haswa Kodi hakatwi!?? Au Kampuni ya kitapeli!?? Machaguo anayoweka hayapo!?? Madau anayoweka ya uongo!? Sielewi yaani ... Nipo kwenye huu Uzi tangu ulipoanza miaka ya 2012/13 huko sijawahi onaga mabishano yasiyo na afya kama haya ya kwenu .... Kama hamridhiki na anachopost si unaanchana naye. Mfano Mimi Nina akounts zaidi ya kampuni 15 ndio 15 ... Inategemea nataka kucheza vitu gani na kampuni gani Ina masoko gani ...
Sasa mfano huyu ameleta mkeka ama Kodi kampuni ambayo hauna mfano "paripesa" ... Chukua code Nenda paripesa weka code load mkeka angalia machaguo yake ...ukiridhika nayo na kwenye kampuni unayotumia machaguo hayo yapo Nenda kayachague ucheze hajakulazimisha ujisajili paripesa
Nna accounts
-betwinner
-betway
-sokabet
-Mkekabet
-galsport
-premierbet
-parimatch
-playmaster
-1xbet
-helabet
-22bet
-Sportybet
-Meridianbet
-M-bet
n k....
Tatizo weeeengiiiiii mmekuwa watu wa kupinga zaidi baada ya kuwekeza katika maarifa ya Nini kinatumwa ..sio kila kinachotumwa ukibebe kama kilivyo ndio mwisho wa siku mnamjia mtu Kwa hasira .....
Ndio maana wa wakongwe humu ..tunapita tu kusalimia mara moja Moja unatoa tips (Kwa mapenzi yako chagua kadhaa au chukua kokoro lote) ...ukiwin fresh tukipizwa pia usilaumi.
Adios.
Daaa...sasa Babu vitu vingine inaweza kuwa chuki BINAFSI ...nikuache naye myamalize....kuhusu Kodi ..Kodi hakuna ..mkeka niliokopi ni huo hapo na muda niliobet usidhani nimeubeto Sasa hivi .... Punguza hizo mbanga Mzee unajibania mwenyewe Nyota ..kunjua moyo huo....Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
Kwa kweli Kwa Soton hapo .....wali mchafu ushukuriwe....504C8C1 (sprtybt) wachezaj wamevimbiwa pilau
πKwa kweli Kwa Soton hapo .....wali mchafu ushukuriwe....
Boomπ€Έπ€Έπ€Έπ€ΈView attachment 3185513
SINGLE BET β½
Bet PariPesa. Jisajili PariPesa Hapa Kubet π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
πππSura Zinaanza kubadilikaπ€£π€£π€£π€£
Betting aiseee watu watafika mbinguno wamechakaa
Huu tayari umeshaboom kipindi cha kwanza. Hongera sana Mkuu.View attachment 3185513
SINGLE BET β½
Bet PariPesa. Jisajili PariPesa Hapa Kubet π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.
View attachment 3185513
SINGLE BET β½
Bet PariPesa. Jisajili PariPesa Hapa Kubet π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijiunga Na Kudeposit.