Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 10 Betway 13DE35BA

Odds 500+ sportybet B7D6E5

Odds 10,000+ sportybet 29DEDD

KUPANGA ,NI KUCHAGUA!
Kazi ni kwako!
 
Attachments

  • Screenshot_20241226_120044_Chrome.jpg
    Screenshot_20241226_120044_Chrome.jpg
    314.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241226_112033_Chrome.jpg
    Screenshot_20241226_112033_Chrome.jpg
    182.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241226_111608_Chrome.jpg
    Screenshot_20241226_111608_Chrome.jpg
    171.1 KB · Views: 2
Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
Mkuu Paripesa Hawana Kodi. Hebu Weka Stake Yako halafu uone kama kuna kodi ya Serikali. Na kuna wengine wengi wamestake na hakuna makato ya kodi ya Serikali. Na stake kila siku hakuna makato ya kodi. Wewe unatumia PariPesa lakini? Kama unatumia, hebu tengeneza Mkeka wowote, stake kisha niambie kama kuna kodi.
 
Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
Mi Kwa Kweli sometimes siwaelewi mnachomlalamikia jamaa .... Mnalalamika nini haswa Kodi hakatwi!?? Au Kampuni ya kitapeli!?? Machaguo anayoweka hayapo!?? Madau anayoweka ya uongo!? Sielewi yaani ... Nipo kwenye huu Uzi tangu ulipoanza miaka ya 2012/13 huko sijawahi onaga mabishano yasiyo na afya kama haya ya kwenu .... Kama hamridhiki na anachopost si unaanchana naye. Mfano Mimi Nina akounts zaidi ya kampuni 15 ndio 15 ... Inategemea nataka kucheza vitu gani na kampuni gani Ina masoko gani ...

Sasa mfano huyu ameleta mkeka ama Kodi kampuni ambayo hauna mfano "paripesa" ... Chukua code Nenda paripesa weka code load mkeka angalia machaguo yake ...ukiridhika nayo na kwenye kampuni unayotumia machaguo hayo yapo Nenda kayachague ucheze hajakulazimisha ujisajili paripesa
Nna accounts
-betwinner
-betway
-sokabet
-Mkekabet
-galsport
-premierbet
-parimatch
-playmaster
-1xbet
-helabet
-22bet
-Sportybet
-Meridianbet
-M-bet
n k....

So mi ukileta code Kampuni yeyote kati ya hizo naenda naangalia chaguo ntalopenda nalinote pembeni .. hivyo mwisho wa siku naibuka na mkeka mmoja kutoka code za kampuni nyingiii ....

Tatizo weeeengiiiiii mmekuwa watu wa kupinga zaidi baada ya kuwekeza katika maarifa ya Nini kinatumwa ..sio kila kinachotumwa ukibebe kama kilivyo ndio mwisho wa siku mnamjia mtu Kwa hasira .....

Ndio maana wa wakongwe humu ..tunapita tu kusalimia mara moja Moja unatoa tips (Kwa mapenzi yako chagua kadhaa au chukua kokoro lote) ...ukiwin fresh tukipigizwa pia usilaumu.

Adios.
 
Mi Kwa Kweli sometimes siwaelewi mnachomlalamikia jamaa .... Mnalalamika nini haswa Kodi hakatwi!?? Au Kampuni ya kitapeli!?? Machaguo anayoweka hayapo!?? Madau anayoweka ya uongo!? Sielewi yaani ... Nipo kwenye huu Uzi tangu ulipoanza miaka ya 2012/13 huko sijawahi onaga mabishano yasiyo na afya kama haya ya kwenu .... Kama hamridhiki na anachopost si unaanchana naye. Mfano Mimi Nina akounts zaidi ya kampuni 15 ndio 15 ... Inategemea nataka kucheza vitu gani na kampuni gani Ina masoko gani ...

Sasa mfano huyu ameleta mkeka ama Kodi kampuni ambayo hauna mfano "paripesa" ... Chukua code Nenda paripesa weka code load mkeka angalia machaguo yake ...ukiridhika nayo na kwenye kampuni unayotumia machaguo hayo yapo Nenda kayachague ucheze hajakulazimisha ujisajili paripesa
Nna accounts
-betwinner
-betway
-sokabet
-Mkekabet
-galsport
-premierbet
-parimatch
-playmaster
-1xbet
-helabet
-22bet
-Sportybet
-Meridianbet
-M-bet
n k....

Tatizo weeeengiiiiii mmekuwa watu wa kupinga zaidi baada ya kuwekeza katika maarifa ya Nini kinatumwa ..sio kila kinachotumwa ukibebe kama kilivyo ndio mwisho wa siku mnamjia mtu Kwa hasira .....

Ndio maana wa wakongwe humu ..tunapita tu kusalimia mara moja Moja unatoa tips (Kwa mapenzi yako chagua kadhaa au chukua kokoro lote) ...ukiwin fresh tukipizwa pia usilaumi.

Adios.
Seconded
 
Cha kushangaza zaidi hata kodi ya serikali 10% haipo huku wengine wanakatwa
Daaa...sasa Babu vitu vingine inaweza kuwa chuki BINAFSI ...nikuache naye myamalize....kuhusu Kodi ..Kodi hakuna ..mkeka niliokopi ni huo hapo na muda niliobet usidhani nimeubeto Sasa hivi .... Punguza hizo mbanga Mzee unajibania mwenyewe Nyota ..kunjua moyo huo....
Screenshot_20241226-122554.jpg
 
Back
Top Bottom