Ngoja nikutafutie lost nyingine ufurahie vizuri.hii won mkuu katoe helaaa.
Umemjibu kikubwaNgoja nikutafutie lost nyingine ufurahie vizuri.View attachment 3186851
Unaacha kupost won..! uje kivulini tupumzike wote achana na huo ujinga kijanaNgoja nikutafutie lost nyingine ufurahie vizuri.View attachment 3186851View attachment 3186853
Acha kamari kijana kupoteza hela zako ulizotafuta kwa jasho kwenye kamari ni kitu cha kijinga sana labda kama Unamrudishia kanji ulizomlaaa.Umemjibu kikubwa
Yaani ana Mambo ya Kike kwenye Group la Wanaume
Sasa hata ukilost pesa si zako?
Analeta MIPASHO,tena mtu na Akili timamu unaamka unamtafuta mmoja mmoja alielost
Kuna watu Wana Lose ila resources zao za pesa zinawaruhusu kustake high,hata akichaniwa mikeka yote then anaendelea na still stable
Nafsi za Roho Dhaifu, MUNGU anachelewa sana kuzitoa
Pambana Mdau, nakubali Sana mfumo wako wa Betting,Risk taker with matches Chacheππππ
Sawa mke WANGU kwa USHAURI wa kumpangia Mumeo matumiziAcha kamari kijana kupoteza hela zako ulizotafuta kwa jasho kwenye kamari ni kitu cha kijinga sana labda kama Unamrudishia kanji ulizomlaaa.
DF97FC
Odds 3 za uhakika kesho
Weka nyumba.....SB
Sawa wife.Sawa mme WANGU kwa USHAURI wa kumpangia Mkeo matumizi
Sawa Bwana WANGU.
hii ni kweli au ume edit..weka tena ya leo tukufate sio kutulingishia won tupia huo mkeka wa correct score hapa kabla ya matokeoNitahakikisha mpakA sent yangu ya mwisho unaitoa
ππππ
Naona unajitekenya halafu unacheka mwenyeweNitahakikisha mpakA sent yangu ya mwisho unaitoa
Nimekubali πila leo tunafanyaje Mkuu
Kilichotokea jana kπhKumekuchaaaaaaaa
Today's Hits from GOVERNOR my self:-
1 ) ARSENAL vs Ipswich
Hii Mechi ni nyepesi kwa Arsenal ila Ipswich ni team ya Surprises.
Pia tujue Bukayo Sakka hayupo na anaweza kukosa msim Mzima
Sasa options nimezoenda nazo:-
A) Arsenal Over 1.5
B) Bookings Over 2.5
2 ) AZAM vs JKT
JKT Katoka kucheza Mechi alizotumia nguvu kubwa mnoo
JKT kama Team nyingine tu anapokutana na Simba au YOUNG AFRICANS basi hujitoa kupitia kiasi.
AZAM Fc na yote yake, sticking force yao ni ya Hali ya juuu mnooo
JKT anaweza kufungika kirahisi mnoo leo
Options:-
A) Azam vs JKT over 1.5
B) AZAM Fc over 1.5
3 ) BRIGHTON vs BRENTFORD
Hawa wajinga wote wanatumia nguvu mnoo kuliko akili,Mechi zao zote ni tough mnoo kama Prison ya kina Asukile.Au kama ilipokuwa Wolves zamani
Na tabia ya watata wa mid-table teams wakikutana basi goals zakutosha pia,na sijui kama mmoja Hali Umeme kwenye hii mechi
Mie hiiechi nimeipa
A) Bookings over 2.5
B) Overall Goals 1.5
Note:-
Ni mtizamo wangu na sio guarantee kwamba lazima iwe hivyo
But those are options which I opted on them
All the best Brothersπππππ
Paragraph ya KWANZA mkeka ulitikiMech
Kilichotokea jana kπh
1st Half Total Team 2 - over 0.5.Nimekubali πila leo tunafanyaje Mkuu