Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hii won mkuu katoe helaaa.
Ngoja nikutafutie lost nyingine ufurahie vizuri.
Screenshot_20241228-102707_One UI Home.jpg
Screenshot_20241228-103004_MelBet.jpg
 
Ngoja nikutafutie lost nyingine ufurahie vizuri.View attachment 3186851
Umemjibu kikubwa

Yaani ana Mambo ya Kike kwenye Group la Wanaume

Sasa hata ukilost pesa si zako?

Analeta MIPASHO,tena mtu na Akili timamu unaamka unamtafuta mmoja mmoja alielost

Kuna watu Wana Lose ila resources zao za pesa zinawaruhusu kustake high,hata akichaniwa mikeka yote then anaendelea na still stable

Nafsi za Roho Dhaifu, MUNGU anachelewa sana kuzitoa

Pambana Mdau, nakubali Sana mfumo wako wa Betting,Risk taker with matches Chache👏👏👏👏
 
SPORTYBET

Simba Optionsl ya over 1.5 wamishitoafastaaa🤣🤣🤣🤣🤣

Wameweka over 2.5,ngum kumeza

NDIO maana hizi Mechi za BONGO better Ubet siku Moja kabla

Nasubiria Young Africans ikiwekwa tu nasepa nayo mazimaaaa
 
Umemjibu kikubwa

Yaani ana Mambo ya Kike kwenye Group la Wanaume

Sasa hata ukilost pesa si zako?

Analeta MIPASHO,tena mtu na Akili timamu unaamka unamtafuta mmoja mmoja alielost

Kuna watu Wana Lose ila resources zao za pesa zinawaruhusu kustake high,hata akichaniwa mikeka yote then anaendelea na still stable

Nafsi za Roho Dhaifu, MUNGU anachelewa sana kuzitoa

Pambana Mdau, nakubali Sana mfumo wako wa Betting,Risk taker with matches Chache👏👏👏👏
Acha kamari kijana kupoteza hela zako ulizotafuta kwa jasho kwenye kamari ni kitu cha kijinga sana labda kama Unamrudishia kanji ulizomlaaa.
 
Mech
Tumemalizana kwa Amani leo

AZAM naanza na wewe kesho

View attachment 3185902

Kumekuchaaaaaaaa

Today's Hits from GOVERNOR my self:-

1 ) ARSENAL vs Ipswich
Hii Mechi ni nyepesi kwa Arsenal ila Ipswich ni team ya Surprises.
Pia tujue Bukayo Sakka hayupo na anaweza kukosa msim Mzima

Sasa options nimezoenda nazo:-

A) Arsenal Over 1.5
B) Bookings Over 2.5

2 ) AZAM vs JKT
JKT Katoka kucheza Mechi alizotumia nguvu kubwa mnoo
JKT kama Team nyingine tu anapokutana na Simba au YOUNG AFRICANS basi hujitoa kupitia kiasi.
AZAM Fc na yote yake, sticking force yao ni ya Hali ya juuu mnooo
JKT anaweza kufungika kirahisi mnoo leo

Options:-
A) Azam vs JKT over 1.5
B) AZAM Fc over 1.5

3 ) BRIGHTON vs BRENTFORD
Hawa wajinga wote wanatumia nguvu mnoo kuliko akili,Mechi zao zote ni tough mnoo kama Prison ya kina Asukile.Au kama ilipokuwa Wolves zamani
Na tabia ya watata wa mid-table teams wakikutana basi goals zakutosha pia,na sijui kama mmoja Hali Umeme kwenye hii mechi
Mie hiiechi nimeipa

A) Bookings over 2.5
B) Overall Goals 1.5

Note:-
Ni mtizamo wangu na sio guarantee kwamba lazima iwe hivyo
But those are options which I opted on them

All the best Brothers👏👏👏👏🙏
Kilichotokea jana k🙃h
 
Back
Top Bottom