π€£π€£π€£Vimeo vinatolewa na pesa za kubet? π
Haya nimekuwekea hapo juu,mechi tatu tu odds 10
Natulia bhana kumtajirisha kanji hata sitakiMkuu serious kumbe?
Sio ungetafuta namna nyingine kuipata hiyo 70K
Nimeshaweka mbona
π€£π€£π€£
Ngoja nitulie tu hili 10 bora nikale hata nyama choma
Natulia bhana kumtajirisha kanji hata sitaki
Nitampa hata kesho aisee maana kumpa kanji 10k sio kazi nyepesiHiyo 10K tafuta namna nyingine ujazie 60K upambane na kimeo
Na upimbi uliopo kwenye betting....ukibet ili upate hela ya usolve jambo fulani ndo unashangazwa game ya kwanza tu chaliNitampa hata kesho aisee maana kumpa kanji 10k sio kazi nyepesi
Imekaa vizuriLiver na Man u nimeiweka hivi
Mara ya mwisho Niliweka 500 timu 13 nikala 155,000 mbona nilienda kufanyiwa masaji kwanza π€£π€£π€£Na upimbi uliopo kwenye betting....ukibet ili upate hela ya usolve jambo fulani ndo unashangazwa game ya kwanza tu chali
Mara ya mwisho Niliweka 500 timu 13 nikala 155,000 mbona nilienda kufanyiwa masaji kwanza π€£π€£π€£
Wengi wameajiri makampuni kamaUkikutana na mtu yeyote anayebet anakwambia au amendika sehemu JAZA PROMO CODE hii upate bonus sijui nini nini! HUYO NI TAPELI, AMEAJIRIWA NA KAMPUNI ILI KUINGIZA WATU MKENGE.
Tunapigana hivyo hivyo ila ngumi zake nzito kuliko zetu.Kwanini mkuu, vipigo as usual
Ngoja huu mwezi upinduke mdau nitakua Naomba odds kwakoHiyo 155k ungetafuta odds 2 ule 300k π
Tuache NJAnuary ipiteNgoja huu mwezi upinduke mdau nitakua Naomba odds kwako
Heka Heka sana January hiiTuache NJAnuary ipite
angalia hapa kampuni za kubet ambazo zimesajiliwa Tanzania.Mimi nawekeza na sportybet tu ndugu yangu,nikitwist 1x ndo makampuni nayoayamini..nimeiona hiyo app ndio nikataka niijue zaid kutoka Kwa wajuzi