Yaani wamebana mno. Ila mapambano lazima yaendeleeImekaa vizuri
Sema wamebana sana odd kwa machaguo yote hayo odd 2.7 tu
hii bet builder ikichana option 1 umeliwa ama!?Liver na Man u nimeiweka hivi
Yeshii bet builder ikichana option 1 umeliwa ama!?
Leo nikaona siku nyingi sijabet nikasema acha nibet nikampa Fulham na Liverpool win π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ngoja nitulie tu hili 10 bora nikale hata nyama choma
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Na upimbi uliopo kwenye betting....ukibet ili upate hela ya usolve jambo fulani ndo unashangazwa game ya kwanza tu chali
Nilimla 50000 online kwa 10000 kwenye game ya Rangers online ameirudisha kwa Fulham πππ
Acha tu mkuuTunapigana hivyo hivyo ila ngumi zake nzito kuliko zetu.
Naenda kula KUKU Robo na Pepsi big na Kidude cha buku tu π π πUngejua hujui
Halafu unakuja kukuta zile mbili zinatiki
Kidude cha buku ndo kipi na mie niagize sasa hiviNaenda kula KUKU Robo na Pepsi big na Kidude cha buku tu π π π
Ki K-vant πππKidude cha buku ndo kipi na mie niagize sasa hivi