Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hzo odd 2 unazozisema wewe sio rahisi! Hata odd 1.50 tu kwa siku sio rahisi hata kuwe na mechi elfu moja kila siku bado utaliwa tu na hao unaona wanaopos win kila siku sio kweli wanaedit
Uko sahihi kabisa mkuu, hata huyo jamaa niliyemtaja hapo analost na kuwin kama ilivyo desturi ya kamari, huwa nafuatilia odds zake

Lakini intention yangu ni kuwa hii kitu inataka mtaji mkubwa halafu ukitafuta hizo odds chache za uhakika inakuwa na chance kubwa ya kuboom ukilinganisha na odds nyingi ambazo zina chance ndogo ya kuboom

Kuhusu kuedit mkeka ili uonekane umeboom, kwa watu ninaofuatilia odds zao sijaona waedit, akilost naona amelost, akiboom pia naona kaboom, kwani mechi nakuwa nazifuatilia mwenyewe.

Binafsi nimeanza kutafuta Odds 2 na kuweka hela ninayoona ninaweza kuipoteza, nawin na kulost kama kawaida.

Jana nilitafuta Odds nikaweka 100k nikawin kama unavyoona hapo
 

Attachments

  • 01 jpg.jpg
    293.9 KB · Views: 1
  • 02 jpg.jpg
    393.3 KB · Views: 1
safi sana mkuu unatupa hamasa sana..ila itakuwa poa sana ukishare humu kabla ya mechi kuanza kuliko kuleta mkeka baada ya kuwon na hapo ndio kelele za Editing zinapoanzia..pia huyo jamaa wa twitter wa stake millioni 17 unaweza tupostia mkeka humu kabla..si unajua wengi hatuna acess na twitter kwa simu zetu hizi za kubabaisha itakuwa poa sana mwanetu.
 
Sawa mkuu.
Kwa leo nina hii mikeka 2 ya odds 2 Sportybet

Code: D03F3B
Code : 0F17C0

Ila sijastake kabisa stake niliyoweka ni ndogo kabisa, ila wewe unaweza kujilipua.

Options nilizoweka ni 1st half under 2.5 na over 0.5 kwa timu mbili tu.

NB: Huwa nachagua timu ambazo hazichapani magoli mengi kwa kuangalia records kadhaa za nyuma.

Unakuta timu zinatoa goli 2 au 3 kwa Full time, so hapo lazima under 2.5 1st half itoke japo kuchana kupo kama kawaida.

Jamaa wa Twitter tayari kashapost mkeka na unaendelea kuchanja mbuga.
 
Noma sana mkuu
 
H
Huo mkeka ndo inatakiwa kuweka hapaacha sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…