NJOGHOMILE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 694
- 1,942
Uko sahihi kabisa mkuu, hata huyo jamaa niliyemtaja hapo analost na kuwin kama ilivyo desturi ya kamari, huwa nafuatilia odds zakeHzo odd 2 unazozisema wewe sio rahisi! Hata odd 1.50 tu kwa siku sio rahisi hata kuwe na mechi elfu moja kila siku bado utaliwa tu na hao unaona wanaopos win kila siku sio kweli wanaedit
Lakini intention yangu ni kuwa hii kitu inataka mtaji mkubwa halafu ukitafuta hizo odds chache za uhakika inakuwa na chance kubwa ya kuboom ukilinganisha na odds nyingi ambazo zina chance ndogo ya kuboom
Kuhusu kuedit mkeka ili uonekane umeboom, kwa watu ninaofuatilia odds zao sijaona waedit, akilost naona amelost, akiboom pia naona kaboom, kwani mechi nakuwa nazifuatilia mwenyewe.
Binafsi nimeanza kutafuta Odds 2 na kuweka hela ninayoona ninaweza kuipoteza, nawin na kulost kama kawaida.
Jana nilitafuta Odds nikaweka 100k nikawin kama unavyoona hapo