King The Ninja
New Member
- Jun 28, 2019
- 2
- 0
1Xbet bado wanafanya deposit kwa tgo pesa?HABARI... MSAADA WENU TAFADHALI.
Tarehe 13/02/2025 nilitoa fedha Kwa njia ya Tigo Pesa kutoka kwenye account yangu ya 1x bet na mpaka sasa pesa hiyo sijaipata.
Mpaka sasa kilichopo ni ujumbe huu "Approved (please wait to receive the final status from the payment system)"
Na ukiufungua wananambia "Transaction is being processed. Awaiting operator confirmation"
Nimecheki nao Kwa email hawajibu, ukirequest wakupigie wanakupigia ila MWISHO hawana msaada wanakuelekeza KUFANYA mawasiliano Kwa njia ya email.
Nimestuck na matumaini ya kuzipata fedha zangu yanapungua note. Ni zaidi ya 1 million.
kweli aisee..bila kujaza kikamilifu personal profile watakusumbua sana..sema wengi wetu tukishajisajili ile one click hatuendi kujaza majina kamili kule personal profile ndio mwanzo wa shida zote hizi ila kwa wale waliopakumbuka kujaza ile sehemu mambo ni fasta tu kwenye mambo ya fedha..sijui kama mtoa mada nae kama alijaza ile personal profile na kama hakujaza basi kazi anayo itabidi wasumbuane sana.Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatoka
Baba, mama Yako, wajomba zako, bibi na Babu zako ni wabongo hivyo ni WAPUMBAVU kama ulivyo wewe.Wabongo bhana, ni wapumbavu sana kama huyu hapa, jibu alichouliza mtoa mada
kwahiyo ww shida yako nini..sisi hatuna haja ya kujua ni nani mmiliki wa kampuni..au hao wanaongaika hadi huko 1xbet unafikiri wanatafuta nini.. sisi shida yetu ni kampuni ipi ina machaguo mengi na options nyingi walau na ww unaweza kula mara kwa mara sio kuliwa na wa bongo kina m bet na betpawa kila siku kisa hawana options nyingi wanabana sana kiasi nafasi yako ya kushinda inakuwa finyu..hayo mambo eti nani mmiliki wa hizo kampuni nakuachia ww sisi tunataka options nyingi za kuchagua tuwin mapesa na hizi kampuni zinajitahidi eneo hili nasi tunapata pata visent.Eti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu π€£ kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacao
Hii hela haipo Kwa account yangu washaikata ila haijafika kwangu mkuu....Hii njia sio nzuri wewe weka buku kwa wakala kisha betia buku usiliwe hiyo buku nakuhakikishia unatoa hizo milioni zako usiweke hizo milioni weka buku kwa wakala kisha betia hiyo buku sio zile milioni nimerudia na kuludia ukifel ukaliwa huyo buku weka tena buku mpaka ule then utatoa pesa zako zote bila blah
Endelea kusubir mkuu au cancel muamala utoe kwa njia nyingine. Nb njia ya mwisho ku deposit ndio utakayotumia kutoa , lakinI pia unaweza kutoa kwa mtandao tofauti ikakubali
Nna idea ya kukusaidia, utapata hela yako within 2 weeksHii hela haipo Kwa account yangu washaikata ila haijafika kwangu mkuu....
Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatoka
hawasumbui kabisa pesa unaipata on time..mm natumia 888starz na betwinner wako poa kwenye miamala..ila nawe ukishajisajili ukumbuke kwenda my account alafu ujaze pale personal profile..ndomana huko 1xbet wanakuzingua.Je kampuni ulizotaja hawasumbui
Naona kakahawasumbui kabisa pesa unaipata on time..mm natumia 888starz na betwinner wako poa kwenye miamala..ila nawe ukishajisajili ukumbuke kwenda my account alafu ujaze pale personal profile..ndomana huko 1xbet wanakuzingua.
Mkuu kama ulifanya hivi basi wewe ndiye mwenye makosa. Ulitoaje kwa kutumia mtandao ambao hata hukusajilia? Maana yake hapo hela imetoka ila imekosa njia ya kwenda.Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
View attachment 3255694
BET OF THE DAY
Codeπ YSXM5
Jisajili PariPesa. Tumia Promo Code TIPS2424 Kujisajili.
Jisajili Hapa π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Codeπ TIPS2424
Tumia Promo Codeπ TIPS2424 Upate 300,000 Bure Kama Bonus.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Unaamua kuweka ashinde yeyote ngoma inaisha 0-0
au kwa kukupa moyo mpaka dakika ya 80 2-0, full time inaisha 2-2
Wako poa kabisa. Ku deposit na kuwithdraw iko njemaHvi paripesa kwenye kutoka pesa wako vipi wadau nataka nitengeneze akaunti
We unatumia ipi mkuu au zote melbet na hiyo paripesa?nataka kujiunga moja kati ya hizo,ushauri wako mkuuWako poa kabisa. Ku deposit na kuwithdraw iko njema
Weka promo code yako basi nitembee nayoWako poa kabisa. Ku deposit na kuwithdraw iko njema
Natumia zaidi PariPesa.We unatumia ipi mkuu au zote melbet na hiyo paripesa?nataka kujiunga moja kati ya hizo,ushauri wako mkuu