KabisaaaMajibu yao huwaga hivi. Lakini komaa nao hela utapata, uwe unawakumbushia kwa email.View attachment 3256263
Kaka sijataja mawakala option ni kwa yeyote mwenye msaadaUnataka mawakala wakuoneshe ushirikiano wakati na wewe hukuonesha ushirikiano kwa kudeposit kupitia wao?? Hakuna wakala atakayekusaidia hapo. Na epuka sana kutumia njia za Tigopesa sijui Mpesa. Zinaondolewaga mara kwa mara. Tumia mawakala
HahahahahaMkuu
Mara ya mwisho kutoa zaka ama saddaka lini..tunaweza shauri kumbe tunashindana na Mungu
DooohRelax punguza jazba itakuja kurudishwa na wao watakutumia ujumbe. Relax inauma ila usijali. Punguza kuangalia pia.
Daaah aiseeee mbona unantishahaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
sumbue usiku na kama wanakujibu kwa sms screenshot zote kwa ushahidiHahahahaha
Eti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu ๐คฃ kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacaohaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Kampuni namba moja africa hiyo betway bonge la kampuniNiliwahi kubeti Kupitia App ya betway, nikaweka stake vizuri Bahati nzuri mkeka ukatili. Kutoa pesa ikawa kasheshe, nilikaa kama wiki nikaona muamala wa pesa umeingia wanipa pesa.
Sikurudia Tena kubetia hiyo kampuni ๐ฎ
Ndugu katika kazi nimekusoma sanaaaMpwa am kidin si unanjua NDUGUYO ofisi Moja
Hiyoo unahitaji uvumilivu ukiona kimya wa
sumbue usiku na kama wanakujibu kwa sms screenshot zote kwa ushahidi