Swali ni je hawazingui mifumo ya MALIPO nshaogopa sasaEti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu 🤣 kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacao
Je kampuni ulizotaja hawasumbuihaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Hii njia sio nzuri wewe weka buku kwa wakala kisha betia buku usiliwe hiyo buku nakuhakikishia unatoa hizo milioni zako usiweke hizo milioni weka buku kwa wakala kisha betia hiyo buku sio zile milioni nimerudia na kuludia ukifel ukaliwa huyo buku weka tena buku mpaka ule then utatoa pesa zako zote bila blahTafuta wakala akuwekee walau buku kumi, then tafuta odds ya kuanzia 1.1 weka mzigo wote uliopo kwenye akaunt yako, ukishinda nenda kwa wakala toa hela yako itatoka fresh
Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatokahaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Shuke ulienda kusomea ujinga? Alichouliza mtoa mada na ulichoandika na vitu viwili tofauti🚮Iyo kampuni enzi hizo nikipiga hela sana kwa njia ya affiliate nakumbuka links nilikuwa natupia hum watu wanajiunga ila ss pesa yote niliyokuwa nalipwa kama kamisheni zilikuwa zinaishia humo humo kwenye kubet naliwa, hasa siku za wikendi ambapo watu wanabet sana nilikuwa sikosi laki ya kamisheni. Biashara ilikuja kufa baada ya kuwekewa zengwe na makampun ya ndani watu wakapungua kubet sababu njia ya malipo kwa sim zilikuwa zinaondolewa mara kwa mara ikaishia hivyo
Wabongo bhana, ni wapumbavu sana kama huyu hapa, jibu alichouliza mtoa madaNiliwahi kubeti Kupitia App ya betway, nikaweka stake vizuri Bahati nzuri mkeka ukatili. Kutoa pesa ikawa kasheshe, nilikaa kama wiki nikaona muamala wa pesa umeingia wanipa pesa.
Sikurudia Tena kubetia hiyo kampuni 🚮
1Xbet bado wanafanya deposit kwa tgo pesa?HABARI... MSAADA WENU TAFADHALI.
Tarehe 13/02/2025 nilitoa fedha Kwa njia ya Tigo Pesa kutoka kwenye account yangu ya 1x bet na mpaka sasa pesa hiyo sijaipata.
Mpaka sasa kilichopo ni ujumbe huu "Approved (please wait to receive the final status from the payment system)"
Na ukiufungua wananambia "Transaction is being processed. Awaiting operator confirmation"
Nimecheki nao Kwa email hawajibu, ukirequest wakupigie wanakupigia ila MWISHO hawana msaada wanakuelekeza KUFANYA mawasiliano Kwa njia ya email.
Nimestuck na matumaini ya kuzipata fedha zangu yanapungua note. Ni zaidi ya 1 million.
kweli aisee..bila kujaza kikamilifu personal profile watakusumbua sana..sema wengi wetu tukishajisajili ile one click hatuendi kujaza majina kamili kule personal profile ndio mwanzo wa shida zote hizi ila kwa wale waliopakumbuka kujaza ile sehemu mambo ni fasta tu kwenye mambo ya fedha..sijui kama mtoa mada nae kama alijaza ile personal profile na kama hakujaza basi kazi anayo itabidi wasumbuane sana.Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatoka
Baba, mama Yako, wajomba zako, bibi na Babu zako ni wabongo hivyo ni WAPUMBAVU kama ulivyo wewe.Wabongo bhana, ni wapumbavu sana kama huyu hapa, jibu alichouliza mtoa mada
kwahiyo ww shida yako nini..sisi hatuna haja ya kujua ni nani mmiliki wa kampuni..au hao wanaongaika hadi huko 1xbet unafikiri wanatafuta nini.. sisi shida yetu ni kampuni ipi ina machaguo mengi na options nyingi walau na ww unaweza kula mara kwa mara sio kuliwa na wa bongo kina m bet na betpawa kila siku kisa hawana options nyingi wanabana sana kiasi nafasi yako ya kushinda inakuwa finyu..hayo mambo eti nani mmiliki wa hizo kampuni nakuachia ww sisi tunataka options nyingi za kuchagua tuwin mapesa na hizi kampuni zinajitahidi eneo hili nasi tunapata pata visent.Eti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu 🤣 kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacao
Hii hela haipo Kwa account yangu washaikata ila haijafika kwangu mkuu....Hii njia sio nzuri wewe weka buku kwa wakala kisha betia buku usiliwe hiyo buku nakuhakikishia unatoa hizo milioni zako usiweke hizo milioni weka buku kwa wakala kisha betia hiyo buku sio zile milioni nimerudia na kuludia ukifel ukaliwa huyo buku weka tena buku mpaka ule then utatoa pesa zako zote bila blah
Endelea kusubir mkuu au cancel muamala utoe kwa njia nyingine. Nb njia ya mwisho ku deposit ndio utakayotumia kutoa , lakinI pia unaweza kutoa kwa mtandao tofauti ikakubali
Nna idea ya kukusaidia, utapata hela yako within 2 weeksHii hela haipo Kwa account yangu washaikata ila haijafika kwangu mkuu....
Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatoka
hawasumbui kabisa pesa unaipata on time..mm natumia 888starz na betwinner wako poa kwenye miamala..ila nawe ukishajisajili ukumbuke kwenda my account alafu ujaze pale personal profile..ndomana huko 1xbet wanakuzingua.Je kampuni ulizotaja hawasumbui
Naona kakahawasumbui kabisa pesa unaipata on time..mm natumia 888starz na betwinner wako poa kwenye miamala..ila nawe ukishajisajili ukumbuke kwenda my account alafu ujaze pale personal profile..ndomana huko 1xbet wanakuzingua.
Mkuu kama ulifanya hivi basi wewe ndiye mwenye makosa. Ulitoaje kwa kutumia mtandao ambao hata hukusajilia? Maana yake hapo hela imetoka ila imekosa njia ya kwenda.Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
View attachment 3255694
BET OF THE DAY
Code👉 YSXM5
Jisajili PariPesa. Tumia Promo Code TIPS2424 Kujisajili.
Jisajili Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code👉 TIPS2424
Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate 300,000 Bure Kama Bonus.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Unaamua kuweka ashinde yeyote ngoma inaisha 0-0
au kwa kukupa moyo mpaka dakika ya 80 2-0, full time inaisha 2-2