Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna game ya Kenya na Uganda imeanza, kwa wale wa live hii itakuwa na under 2.5 goals, probably!

Nilijaribu kutoa hiyo tip hapo juu. Nilitoa hii na Egypt win. Ila kwa kuwa sisi wengine tuna gundu na betting soka unaweza shangaa game ikatoa 10+.

hahahahaaaa
 
Nilijaribu kutoa hiyo tip hapo juu. Nilitoa hii na Egypt win. Ila kwa kuwa sisi wengine tuna gundu na betting soka unaweza shangaa game ikatoa 10+.

hahahahaaaa

Mkuu nimeicheza ikiwa dkk ya 25 First Half no goal, imekubali.
 
Jamanii naombeni mnielekeze jinsi ya kuhamisha hela kutoka tigo pesa kwenda kwenye a/c ya mkeka bet.


Process ni ile ile km unavyodeposit via M-pesa ...

Namba ya kampuni: 238844
Kumbukumbu ya malipo: mkeka au mkekabet au 12345 (unaweza kutumia yoyote kati ya hizi)
 
Charlton-Southampton U23

1.67

Final Score

1

Millwall-WBA U23

1.48

Final Score

1

Bristol Rovers-Reading U23

1.55

Final Score

1

Bolton-Everton U23

1.64

Final Score

1

Bradford-Stoke U23

1.44

Final Score

1

Peterborough-Norwich U23

1.54

Final Score
........tia neno hapo
 
Mkuu nimetoka ban leo, naona umebadili avatar mkuu, nilikusahau
Mkuu ni vilio tu ...... Nimetoka kupigwa na wwnawake wa marekani kikapu hapa sina hamu point 1 wafike 151.5 over wameishia 151 ..maaamaaae
 
Mkuu ni vilio tu ...... Nimetoka kupigwa na wwnawake wa marekani kikapu hapa sina hamu point 1 wafike 151.5 over wameishia 151 ..maaamaaae

Wajinga sana hao, mimi nimewacheza q4 under 39.5, zikiwa zimebaki sekunde 20 tu wamefunga pt 6, tatu tatu kila timu wakafikisha 40 pts.
 
asee tuje tutafte mda weekend tufanye kikao cha dharula,vipigo vimezd humu, mi nlikua natokea GG ila nayo imenipiga chini kama wk3 hv, nikahamia double chance napo bado nikapigwa ,over 1.5 jumamosi kuna mjinga akatoa 0-0
 
daaaa haha ngoja tu nicheke nimefuata basket alfajiri yaleo ila kilichonipata daaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…