Acha kabisa Mimi nilishaacha hiyo account mwanzo niliwapiga vihela vidogo Wanakupa one day niliwapapasa walichofanya ni kushikiria PESA eti wakaongeza siwezi toa 700k nzima nitoe 750 wakati account ina 700 SASA hiyo 50 inatoka wapi wakanambia nibetie game itakayo nipa kiasi hicho NDO nitoe aiseh, BASI TU nilijaribu tena KWA kujipa moyo kilichotokea mafala wote wanaoipa promo hiyo betting appWalitaka documents za utambulisho nikawapa...
Baadae wakataka benki statement ya miezi 3 na risiti za malipo ya umeme,gesi zenye jina langu. Nikawaambia sina...Wakagoma hapo.
Nikasema niende Gaming Board nikaambiwa niandike maumivu tu.Nimecheza upatu tu.
Ingekuwa kampuni imesajiliwa ningekomaa nao hata mahakamani 17m nyingi.
Sasa hao PARIPESA hata physical address hawana ukitaka kuwashtaki unaenda wapi?
WEWE hua uchezi hua unajibarqguza hapa na fake win , sisis tunaocheza NDO tunaumia .Mmmmh, mbona mimi hawajawahi kudai hiyo risiti. Mkuu ilikuwa ni lini? Naomba mkuu nitumie ID yako ya PARIPESA Dm ili nijaribu kuwasiliana nao na mimi.
Inaonekana wewe haubet hela nyingi..Mimi walianza kunishushia kiwango cha kutoa mpaka 300k kwa siku...Nikatoa kama siku 10 mfululizo ndio wakablock..Nikaendelea kubet ikafika hiyo 17m.Mmmmh, mbona mimi hawajawahi kudai hiyo risiti. Mkuu ilikuwa ni lini? Naomba mkuu nitumie ID yako ya PARIPESA Dm ili nijaribu kuwasiliana nao na mimi.
Yani mpaka wanataka risiti ya malipo ya umeme na gesi🤣😁 hapo hamna kampuni ni wahuni 😆pole sana mkuuWalitaka documents za utambulisho nikawapa...
Baadae wakataka benki statement ya miezi 3 na risiti za malipo ya umeme,gesi zenye jina langu. Nikawaambia sina...Wakagoma hapo.
Nikasema niende Gaming Board nikaambiwa niandike maumivu tu.Nimecheza upatu tu.
Ingekuwa kampuni imesajiliwa ningekomaa nao hata mahakamani 17m nyingi.
Sasa hao PARIPESA hata physical address hawana ukitaka kuwashtaki unaenda wapi?
Hebu screenshot hiyo account tuone hizo mil 17Inaonekana wewe haubet hela nyingi..Mimi walianza kunishushia kiwango cha kutoa mpaka 300k kwa siku...Nikatoa kama siku 10 mfululizo ndio wakablock..Nikaendelea kubet ikafika hiyo 17m.
Dah mi nasubiri waganda waongeze kimoko hapa nimewapa win&1.5Uganda vs Niger GG mbona inakataa ivi
mungu wa betting kakuskia mkuuDah mi nasubiri waganda waongeze kimoko hapa nimewapa win&1.5
Check na huo wangumungu wa betting kakuskia mkuu
Aisee!!!Sawa Ila jua hawana ofisi Tanzania na hawana Vibali.
Mimi nina ushahidi
PARIPESA...Wamezuia 17m
Nimetoka Game Board kuomba msaada wamesema hao matapeli hawatambuliki.
Unabisha niweke chating zao kwenye email na account yangu?
Nina ushahidi sipigi kampuni yeyote Majungu
upi huoCheck na huo wangu
umetoa hapo kongore sanaView attachment 3438664View attachment 3438665
Nasubiri wa-update mkeka huu nilipwe changu throw-ins zimetoka 60
View attachment 3438253
BET OF THE DAY ⚽
Code 👉 GB8JM
📌 Pata Bonus Ya 300,000 Ukijisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉TIPS2424
Jisajili PariPesa Hapa👉 https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
Promo Code Andika👉 TIPS2424