Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwakweli sportybet iko simple sana kuweka mikeka. Kampuni nyingine zote zilinishinda, mipangilio mibovu yaani not user friendly.
 
Hebu screenshot hiyo account tuone hizo mil 17
Mkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.

Ila jua kuna watu wanabet serious, mimi kula 500k-1m kwa siku ni kawaida sana..

Nabet Live match tu naweka dau kubwa. Check.mkeka wa siku moja tu tarehe 30
 

Attachments

  • Screenshot_20250812_095428_PariPesa.jpg
    161.4 KB · Views: 30
  • Screenshot_20250812_095359_PariPesa.jpg
    161.3 KB · Views: 26
  • Screenshot_20250812_095416_PariPesa.jpg
    160 KB · Views: 24
pachanya cheza au tumia BETPAWA, SPORTYBET, SPORTPESA NA PLAY MASTER, japo Sportpesa na Betpawa Huwa hawana masoko mengi kivile
Mkuu kwa sasa nimepumzika naugulia maumivu kwanza...Ila huwa natumia kampuni zenye mfumo wa Kirusi sababu wana options ambazo kushinda ni rahisi. Ni wewe tu kuwa na mtaji mkubwa ili hata odd ya 1.07 ukiweka 1m uhakika 70k.

Ukiona hamna masoko mengi ujue chances za kushinda ni ndogo mnoo.Utapoteza tu hela muda mfupi.
 
Odds 51 leo leo mechi zote
Sportybet 💥

56K5FM

Odds 1440

61WGFX
 
Kuna tofauti ya machaguo mengi na machaguo bora kwenye sportybet wapo active sana kila siku wanakuja na vitu vizuri mfano Ilikuja 2UP sasa hivi wana hadi 1UP
 
Sasa kama ni hivyo mbona kuweka pesa awakatai majina yakiwa tofauti na kwenye kula pesa yako wanatafuna tu ...swala la majina lije kwenye kutoa pesa ulizo kula tu 🙄 achaneni na hizo kampuni mafii 💩 ya sisiemu
 
Mkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.

Ila jua kuna watu wanabet serious, mimi kula 500k-1m kwa siku ni kawaida sana..

Nabet Live match tu naweka dau kubwa. Check.mkeka wa siku moja tu tarehe 30
Hii ndio betting business kongole sana! Nitafika huku siku moja
 
Tukubaliane kampuni ukoo wa mrusi ni nzuri zina option nyingi kukuwezeaha kula hela yao. Mfano unakuta mrusi mechi ameanzia na over 1.5 halafu mechi hiyo hiyo sporpesa ameanzia na over 2.5 apo manake anaitafuta hela yako kwa heri ama kwa shari.
Shida kampuni za mrusi zina kashfa ya kuwapiga wabetiji maneno tofauti. Mimi mwenyewe kwa mrusi hunitoi ila natafutia hela ya kula tu Sina mpango wa kubeti mkeka wa kula milioni 50
 
Ngoja nibet now nile 100,000 ya fasta tu...Nilete mrejesho humu.
 
Mkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.

Ila jua kuna watu wanabet serious, mimi kula 500k-1m kwa siku ni kawaida sana..

Nabet Live match tu naweka dau kubwa. Check.mkeka wa siku moja tu tarehe 30
kodi vipi?
 

268K BOOOOOOOM✅✅✅✅

Jisajili PariPesa Kupitia Link Hizi👉 https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Tumia Promo Code 👉TIPS2424 Kujisajili Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Ukideposit Kwa Mara Ya Kwanza.

PariPesa App Download➡️ https://paripesa.bet/tips2424app
 
Mkuu unahisi nadanganya ili iweje? Nimemcheki jamaa inbox naomba niwe kimya kwa sasa.

Ila jua kuna watu wanabet serious, mimi kula 500k-1m kwa siku ni kawaida sana..

Nabet Live match tu naweka dau kubwa. Check.mkeka wa siku moja tu tarehe 30
Sawa tunaomba hiyo slip ya mil 17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…