KOROSHO BOMBA
Senior Member
- May 11, 2024
- 186
- 313
π Hiyo sio cash-out, niliweka one cut kwa lengo la kufunga cash out. Ila bado anatafutwa mpaka mwezi May. Hasara itarudi tu mkuu. Chukua code hiyo tupigike wote πMkuu ukaona bora uchukue japo kidogo duh week ya Moto hii.
Safi sanaLEO NIMEPIGA IGNORE HAWA WAHUNI WAWILI WA KAMARI....AMBAO WAKILA WAMEKULA NA WAKILIWA WAMEKULA. πππ
Mkuu kausha basi watu tushatia mzigo kwa City.Ulimwengu wangu wa roho unaniambia Leo City hatoboi
ππ Nisamehe mkuuMkuu kausha basi watu tushatia mzigo kwa City.
Game nzima nilikua nakumbuka comment yako...Ulimwengu wangu wa roho unaniambia Leo City hatoboi
Mkuu hizo game nne zote zimeenda kati.England leo ni FT X
itakuwa ni upangaji matokeoMimi jana nilipoteza 17,000/- nimeumia sana kumbe kuna walioliwa mamilioni ??
πππ huyu jamaa ana ππ huyu maana code zake nitamu kwa odds ila ni mbaya akilini πHappy new year 2026
View attachment 3523429
Naona unaongea na mizimuππ ya mababu π bila shaka marehemu watakusikiaTati
Tatizo odds ndogo mno faida jero
Kama unaangalia matokeo kwa jicho hilo i doubt your football knowledge.
Mimi sipo upande wowote ila nachojua Sunderland ni wagumu sana wakiwa kwao, hawajapoteza hadi sasa kwenye uwanja wao wa nyumbani.
City walishinda comfortably 3-0 wakiwa nyumbani.. km unafuatilia mpira vizuri utakua unaelewa home advantage ilivyo na nafasi kubwa kwenye mpira wa sasa.
Sasa energy waliyonayo City pale Etihad, leo wanayo Sunderland kwenye uwanja wa Stadium of Light.
Kwa kifupi leo sitaki nijihusishe na City. Ila kwa possibility ya ushindi City anayo kubwa, ila usiwe confident kupitiliza.
Noma mkuuPremier League Tumeufungua mwaka Kibabe sana with Nil Nil on the floor!
Sema Ukiwa Mkamaria, Unaweza kuvumiliana Kuishi na mwanamke wa aina yoyote ile! KWA HAYA TUNAYOYAVUMILIA!
WAKAMALIA TUNA VIFUA AISEE! VINATUNZA MAUMIVU YA AINA ZOTE!
View attachment 3523886
HatariDu jana LIVERPOOL KATUWEZA VIBAYA SANA nilijua nitaambka na sh 50000 kwa 1000