Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Makampuni ya simu yanaingiza pesa kwa kuyauzia haya makampuni namba zetu....

wanatufanyia biashara/WANATUUZA! pasipo ridhaa yetu....namba ambazo hazifanyi transaction kwenye kampuni za kubet...hazitumiwi hizi jumbe...

Ni vile tuna mamlaka za kisen.ge zinajifanya hazioni huu uhuni tunaofanyiwa.
 
Hizi ni meseji za kampuni za betting ambazo hata sizijui



Nyingine hii imeingia muda huu

 
Al ittihad na Al Ettifaq kwangu nimeiogopa nimeona kama mechi ngumu sana
66R2RF

View attachment 3530654
Kama nilivyosema

Hawa Al Ettifaq nilishuhudia game yao na Al Nassr. Tangia siku ile sikuwahi kui underestimate tena kama timu ya pili

Japo nilikuwa na wasiwasi na Al Ittihad kushinda ila niliamini mechi ingekuwa na magoli.

Wamechana mkeka kwa kutotoa magoli ila mikadi na kona iliyokuwa ya kumwaga leo

 
Sportybet beti mbona wanakataa mikeka yangu ya matreni niliyo tengeneza kama huo wa odds 5000 wana sema odds axikubaliki na kuchezesha mitandao nimeanza kuhisi uhuni ....wanayumbisha mtandao wao hii ni tatizo lq serikali kuto kuwekq sheria kali za makampuni ya kamari ...nimenoti hii kitu baada ya matreni yangu kuwa yana chana timu chache kama hapa pichani wanakataa nisibeti ...pia nimegundua wanao uwezo wa kumtaigeti mchezaji mmoja mmoja wanapo nusa hatari ya kuliwa ....ule mkeka wa odds 5000 nilio post umekataa na huu wa odds 3000 unakataa
 

Attachments

  • Screenshot_20260117-153100_SportyBet.jpg
    111 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…