App jamii ya mrusi nyingi sana, ikisumbua moja unahamia nyingine.Msaada jinsi ya kufungua acc helabet mkuu napata changamoto sanaa
ina maana gan?Hii opt ya never down kwenye sportbet naona imekaa unyama sanaa
Au .mnaonaje wadau?
Nachopendea ina odd nzuri game 2 inatoa odd 3.
Game 3 hukosi odd 4
Kwa world cup hii naona kanji alijisahau kwa hii opt kuiweka
Yaani moja wapo ya team isiwe nyuma kwa goli lolote lile ila kama mechi ikiisha sare imetiki lakini isiwe sare ya 0:0ina maana gan?
OkApp jamii ya mrusi nyingi sana, ikisumbua moja unahamia nyingine.
1. 1xbet
2. Melbet
3. Helabet (kodi ipo)
4. Betwinner (kodi ipo)
5. Linebet
6. Fansport
7. lilbet
8. 888starz
9. paripesa
10. Megapari
Hizi ndio zina special option.
Aisee✅
Round 3
Namzuia Qatar under 1.5
Namfuata Brazil mazima
Kampuni za MAJAMBAZI ukipiga hela ndefu sahau kulipwaApp jamii ya mrusi nyingi sana, ikisumbua moja unahamia nyingine.
1. 1xbet
2. Melbet
3. Helabet (kodi ipo)
4. Betwinner (kodi ipo)
5. Linebet
6. Fansport
7. lilbet
8. 888starz
9. paripesa
10. Megapari
Hizi ndio zina special option.
Yaani siku ukibet mpira utagonga nguzo basi HAUGONGI na ukichagua usigonge unagongaWale wanaotumia apps za mrusi
Jamii ya
Helabet
Dbet
1xbet
Na watoto wao kina paripesa.
Nyie mmekaa na utajiri ambao hamjuhi kuutimia vyema.
Ngoja niwape best opt ambazo mnazo ila wengi hamzitumii.
1)Var to be used
2)Substitution
3)Offical added time (Hili chaka ni.la wachache sana linatoa sana hela)
4)Ball will enter
5)Penalty or sending off
5)Atleast 1 team will lead by......
6)Both team to score atleast 1 half
7)Brace
8)Head goal
9)Goal outside penalty area
Halafu kuna ule unyama wa
Corner to take all fied of the.......
Hizi opt ni utajiri ambao kwa wajanja wanapiga pesa kimya kimyaa sasa leo nawasanuaaa
Ukiweza jilipue zote drwDRW TENA ALL D 👌
SINGLE
MALAGA FT DRW
CS 1-1/2-2
2.
SOL DE MAYO
FT X
MAXB SINFLE
CS
1-1/2-2
Game ya juzi ya mrusiYaani siku ukibet mpira utagonga nguzo basi HAUGONGI na ukichagua usigonge unagonga
Ukibet hakuna header goal inapigwa header moja ya hatari
Ukichagua yes magoli yote yanafungwa kwa mguu
Ukichagua goal will enter Yes haliingii, ukisema No Linaingia na Var inalifuta
Ukibet ndani ya dakika moja ya mwanzo keeper will touch the Ball No, yaani mpira ukianza wanapiga back pass hadi kwa kipa. Ukichagua Yes zinapigwa pass dk 5 kipa hajagusa
Ukibet added time ndogo unashangaa game siku hiyo inakua na upotezaji wa muda wakiduanzi na ukibet kubwa kunakua hakuna drama kabisaaa
Itoshe tu kusema betting ni Nyokò
Majuzi nilichagua Deffender asifunge goli beki wa Swaziland kàfunga
Hakunaga option rahisi hata siku moja..,...., Zote ni kurusha shilingi
Uzuri wa Mrusi nikwamba una uwanda mpana wa machaguo ya kubet